ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,491
- 2,477
Ukiona imeandikwa Milan jua inazungumziwa Ac Milan.Pamoja na Inter Milan kutikisa kiberiti lakini matendo yao yanawasaliti.
Kwanza wamenunua wachezaji wanne na wanaongezea kununua midfielders wawili huku by 30th June wasipouza na kuwa na benki hela ya uhakika watapigwa faini za FIFA FAIRPLAY
Nionavyo hatumalizi weekend Inter Milan itamruhusu Ivan Perisic kujiunga na Manutd before deadline yao ya 30th June
View attachment 531159View attachment 531160

