Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
HarudiIvi Ronaldo atarudi kweli au ni tambo tu za magazeti ya huko?
Musimu ujao Martial atatamba sana baada ya kuuzoea mfumo mpya wa MourhnioMartial's team have squashed the rumours put out he's been having talks with the club about his future. Good lad. Going no where.![]()
Harafu jamaa wengi wanatujua tukisajiri vizuri, we are untouchable in the world of football.Usajili huu ni Kizungumkuti
Huyo mwingine ni nani mkuu??View attachment 530259
Utafikiri ni Kurwa na Doto!
Musimu ujao Martial atatamba sana baada ya kuuzoea mfumo mpya wa Mourhnio
Tunamhitaji Fabinho, Nainggolan na Morata tufunge kazi khalafu tuone timu ipi itajitutumuaTunahitaji kiungo namba 6 kupunguza kazi za pogba na herrera
Kama ni uamuzi wangu ninamleta Nainggolan badala ya Matic kwa bei ileile ya Matic yaani £40millMatic tena ?
Kwangu mimi tunahitaji striker na winger zaidi ila viungo naona tunao wa kutosha tu labda hatujui kuwatumia
Magic umri umeenda ila atatusaidia
Haka kachalii kanapenda bata sana..kataweza mziki wa ligi kuu kweli??
Ni kweli kabisa na tumebakiza 3 tu nao ni Fabinho, Morata na NainggolanHarafu jamaa wengi wanatujua tukisajiri vizuri, we are untouchable in the world of football.
Ni kweli ila Matic simkubali sana tungepata kumbakumba Nainggolan lugha ingebadilika musimu ujaoNa usajili wa Matic/Fabinho utawapunguzia mzigo wakukaba. Micki,Mata,Rashford,Martial na Lingard nina hakika watang'aa sana.
Sidhani kama tunamhitajiHaka kachalii kanapenda bata sana..kataweza mziki wa ligi kuu kweli??