Valencia atapanda kucheza mbawaniUsajili wa Matic hauna uhusiano wowote na usajili wa Fabinho ambaye pamoja na kuweza kucheza nafasi ya defensive midfielder lakini anapendelea zaidi right back na kutoa ushindani mkubwa kwa Valencia
Valencia atapanda kucheza mbawaniUsajili wa Matic hauna uhusiano wowote na usajili wa Fabinho ambaye pamoja na kuweza kucheza nafasi ya defensive midfielder lakini anapendelea zaidi right back na kutoa ushindani mkubwa kwa Valencia
Hawa vishoka (ulaya mashariki )wamekuwa watu wa kuzalisha viungo bora sana miaka hii tizama kina modric kova na huyu ukenda inter basi hitajio lao ni kubwaI love matic, akasaidiane na herrera pale kati tulikuwa tunapwaya sana! Ivi Chelsea kwann wamemuacha uyu jamaa. Mbona naona ni mzuri? Anyway acha waoane msimu ujao
Hawa vishoka (ulaya mashariki )wamekuwa watu wa kuzalisha viungo bora sana miaka hii tizama kina modric kova na huyu ukenda inter basi hitajio lao ni kubwa
True!Hawa vishoka (ulaya mashariki )wamekuwa watu wa kuzalisha viungo bora sana miaka hii tizama kina modric kova na huyu ukenda inter basi hitajio lao ni kubwa
Wamemchukua BakayokoI love matic, akasaidiane na herrera pale kati tulikuwa tunapwaya sana! Ivi Chelsea kwann wamemuacha uyu jamaa. Mbona naona ni mzuri? Anyway acha waoane msimu ujao
Yaani kanda hiyo wameitendea haki sana.Wengine wakina Perisic,Brozovic, wote wanacheza inter. Na yule wa Barcelona Ivan Ractic. Croatia nafikiri wamewekeza kwenye viungo.
Matic alikuwa anafit kwenye mfumo wa Mourinho (4-3-3 au 4-4-2) while Conte anatumia mfumo wa (3-4-3 au 3-5-2) ambao Matic anapwayaI love matic, akasaidiane na herrera pale kati tulikuwa tunapwaya sana! Ivi Chelsea kwann wamemuacha uyu jamaa. Mbona naona ni mzuri? Anyway acha waoane msimu ujao
Nilikua sijaona hii. Feel sorry for Jose
Me 2!Nilikua sijaona hii. Feel sorry for Jose