Sio kweli mkuu, di marzio huwa anaandika habari zinazohusu mchezaji wa taifa la italy au anaetakiwa na timu ya serie A au anaetoka kwenye timu ya serie A kwenda club nyingine.
Ukiona di marzio ame andika habari mbali na hizo basi lazima nae aandike chanzo chake. Fuatilia utaniambia.
Sky sport ndio ilikua reliable source pekee ya habari world wide lakini saizi nao ni wapiga hela tu.
BBC=England
Di marzio=italy
La parisien=ufaransa
Kicker=ujeruman japo imegawanyika sana, Bild kwa habari za bayern munich angalau wanaaminika, WAZ kwa habari za dortmund na shalke 04
Marca=madrid
Sport=catalonia
Loserpool echo= loserfool
Evening standard = kwa timu zinazotokea london