Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Probably Valencia.Hii hata mimi nakataa... I think kati ya hawa atakua mmoja wao au wote!
1. Valencia
2. Herrera
3. Smalling
Walete tu hiyo 80. Ila wakitupa Moratta,tutawapa De Gea kwa 25.
Smalling kuna mda anakuwa mzito mno na kuruhusu magoli au shot on target za kizembe.Wakati ukuta!
Ila Smalling hana future. Ni kichochoro. Cheki magoli ya Hazard, Welbeck na Kane
Utaona hana kiwango
Je, watakubali kutoa wachezaji watatu kwa mmoja?Kumchukua De Gea itabidi watupe Varane, Morata na Rodriguez
Msimu ujao tunarudi tukiwa strong. Madrid tutawazibiti tu amini hivyo.Vipi ndugu zangu mtauweza mfupa uliomshinda Juve? Hahahaaa
Hakunaga tena kama Madrid dunia hii.
RRONDO radika kisu cha ngariba sister n.k
Walete hela au wakaushe.
Wanajisumbua tum
Wanapoteza muda wao tu.Hawa Valencia sijui ni nani anawashauri.
Hivi kweli, Manutd iwauzie Herrera kwa £30 mill?
De Gea = Morata + Rodriguez + VerenaWalete hela au wakaushe.
Mmmh20:30