Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Suala zima la kufyatua watoto waafrika huwa hatuna mchezo acha apige mzigo ndugu zake wapate mlo.
Na kiwango badoSuala zima la kufyatua watoto waafrika huwa hatuna mchezo acha apige mzigo ndugu zake wapate mlo.
Bora abaki huko huko!!
Teh! Teh! Teh!Bora abaki huko huko!!
Kubwa zaidi ni kubeba ndoo na kutuma ujumbe mzito kwenye Champions league tumewasiliMwezi August ni EURO Super Cup na Real Madrid. Tunategemea kuona kandanda safi ya kuburudisha
Huyu tulimuhitaji kipindi ni wa moto Tottenham...Teh! Teh! Teh!