Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-06-04-19-08-06.png
 
Most passes on opponents' half this season.
1.Paul Pogba- 1029
2.Jordan Henderson -987
3.Mesut Ozil-954
4.David Silva-930
5.Eden Hazard-875
6.Ander Herrera-871
7.Ng'olo Kante-809
8.Christian Ericksen-795
9.James Milliner-772
10.Nathaniel Clyne-747

SOURCE :EPL 2016/17: Paul Pogba becomes first player to complete 1,000 passes in the opposition half

Angalia mchango wa pogba msimu wake wakwanza kutoa hayo anamakombe matatu,hebu tuambie ulitaka pogba afanyaje?

Hilo la sisi kuwa kila mchezaji tunampelekea tamaa umeliona wapi? Unashindwa hata kujiongeza kuwa katika kipindi hiki cha usajili kila mchezaji atahusishwa na man utd ili kuuza magazeti,na kupata views nyingi kwenye site zao.We kama shabiki wa mpira unajua rumors kweli?

Umesema tunataka kununua wachezaji zaidi ya 10 unauhakika? List ya Mou anayo Ed Woodward we umeipata wapi? Kama hujui kitu kuhusu man utd bora ukae kimya au uulize hapa hi ni thread husika utapata majibu yote yakuhusu hii club. Uwe na siku njema.
Jibu mubashara kabisa
 
Mou ana cha kujifunza kwa style ya uchezaji ya manchester sio ya kupaki roli ni kupiga tu kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom