xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
rumors za screen shoot ndio zinavokuaminisha?Smalling na Jones hawatapata namba hata benchi sina uhakika
rumors za screen shoot ndio zinavokuaminisha?Smalling na Jones hawatapata namba hata benchi sina uhakika
Jones huwa namkubali...majeruhi yanamuandama sana.Dah huyu Jones majeruhi yanaua career yake,jamaa mzuri sana.
Wakati ukuta!Hii hata mimi nakataa... I think kati ya hawa atakua mmoja wao au wote!
1. Valencia
2. Herrera
3. Smalling
Haswa!rumors za screen shoot ndio zinavokuaminisha?
Labda asingepata nambaSo ozil left 3 UCL for 3 FA
Juve wamekiri hawakulilinda goli ipasavyo.Vipi ndugu zangu mtauweza mfupa uliomshinda Juve? Hahahaaa
Hakunaga tena kama Madrid dunia hii.
RRONDO radika kisu cha ngariba sister n.k
Wembe uliomnyolea Juve ndio huohuo utakaowanyoa Man U,tusubiri.Juve wamekiri hawakulilinda goli ipasavyo.
Manutd kwa ulinzi hawana mpinzani.
View attachment 518902