Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho hawez kufanya kosa alilofanya massimiliamo Alegri jana juve walikurupuka kumpanga higuain mtu mziyo kma yule nlijua hatafnya lolote.
Mou atasajili kiungo mzuri pale hope list yake ina watu weng wakiwamo bakayoko,dier ila weng wamemsahau verrati japo mou anapenda tall midfielders..
Mim binafsi natabiri tutamchukua Morata kwaajili ya no 9 lindelof atasaidiana na Bailly winga pale tunalist yetu kama tukimkoxa petisic bas dougras Costa atahusishwa kuja na anaweza kuja
Utabiri wang pale Madrid safar hii tunachukua 2 varane hawez kuja now anapata namba pale kumsaidia Ramos so tutasajili morata Rodriguez o morata bale.Nimemtaja bale kwakuwa Man utd tumedhamiria kuleta jina kubwa kwaajili ya mambo ya kibiashara na kuunda kikox cha nguvu so tumemkosa griezzman tunambadala wake ambae ni bale Monaco tutasajili 1 tu hope bakayoko o Mendy+asipoenda city)
 
Kabisa,na yule Varane ni zao la Mou so nadhani pia atatusaidia Zaidi

Leo Madrid wamecheza Mpira Mwingi sana lakini Pongezi nyingi sana kwa Kocha Zinadine Zinade aliyeandika historia mpya leo barani Ulaya,maamuzi ya kutumia Viungo Zaidi ya wanne pale kati yamewapoteza Juve na kuifanya fainal kuwa nyepesi tofauti na tulivyotegemea.

Nijibu swali lako,kwenye Super Cup tunacheza na Madrid hii au Madrid yenye mabadiliko sehemu chache lakini nikuhakikishie Mou hajawahi kuniangusha katika ujenzi wa Ukuta na mfumo wa kujilinda.

Tuone usajili unaenda Vipi lakini tayari tuna Mtu mgumu pale kari Baily,tuna Muhuni Marcus Rojo,tuna kiungo mgumu,jeuri na Fundi Herera, tunahitaji Kiungo mmoja mgumu na katili aina ya Roy keen, na Mshambuliaji mmoja mwenye mapafu ya Mbwa atakayesaidiana na Marcus Rashford.

Sina tatizo na Full back zetu,Valencia na Darmian kama at a endelea kuaminiwa na kubaki pale Old T.

Tegemea mabadiliko makubwa sana kimchezo atakayokuja nayo Pogba.

Kazi ya Kumzuia Huyu Isco itafanywa na Herera, kumbuka mwakani Madrid inaweza kuwa na Hazard na De Gea.
Maneno meeeengi duuh ! Mlichukua ubingwa wa epl sasa? Hilo super cup inakupa jeuri nini?
Kwanza mlioongea saaana kuhusu ukuta wa juv ,jana mmejifunza nini? Mou mwenyewe alivyokuwa Real mwenyewe alishindwa hata kufika fainal
 
Kwa kauli ya mourinho baada siku alipochukua Europa cup,kuwa he is still nobody at OT,anaonyesha dhamira yake kuwa anataka kufanya kitu cha kukumbukwa akiwa na red devils. Kupata nafasi ya kucheza super cup dhidi ya klabu yake ya zamani,mabingwa wapya wa uefa,timu inayodhaniwa kuwa kwenye kilele cha ubora wao,hawezi kupoteza nafasi ya kuudhihirishia ulimwengu kwamba yeye ni SPECIAL ONE.
Atajaribu kuwa onyesha Madrid kuwa he is still special as before.
Itakua fainali tamu kuliko hata fainali ya uefa. Tuombe uzima tu.
 
Mkuu Rutashubanyuma,testimonial ya pass master Carrick ni muda gani? Au yeyote mwenye kufahamu hili
 
Starting XI
 

Attachments

  • IMG_20170604_155811.jpg
    IMG_20170604_155811.jpg
    45 KB · Views: 26
Back
Top Bottom