Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-06-03-22-33-57.png
 
Wakuu UEFA super cup ndio tushamjua tutakaepambana naye, je kuna chance yoyote ya kuwashinda hawa jamaa, maana huu moto wao sio kabisa asee. Anyways katika soccer kitu chochote kinaweza kutokea, nani alitegemea leo Juventus wangekuwa mdebwedo hivi.

Hadi hasira.
 
Watafungwa kiulaini kabisa cheza na Jose
 
Kabisa yani watupe morata na varane plus ela ya juisi tuwape de gea hakuna matata
Kabisa,na yule Varane ni zao la Mou so nadhani pia atatusaidia Zaidi
Wakuu UEFA super cup ndio tushamjua tutakaepambana naye, je kuna chance yoyote ya kuwashinda hawa jamaa, maana huu moto wao sio kabisa asee. Anyways katika soccer kitu chochote kinaweza kutokea, nani alitegemea leo Juventus wangekuwa mdebwedo hivi.

Hadi hasira.
Leo Madrid wamecheza Mpira Mwingi sana lakini Pongezi nyingi sana kwa Kocha Zinadine Zinade aliyeandika historia mpya leo barani Ulaya,maamuzi ya kutumia Viungo Zaidi ya wanne pale kati yamewapoteza Juve na kuifanya fainal kuwa nyepesi tofauti na tulivyotegemea.

Nijibu swali lako,kwenye Super Cup tunacheza na Madrid hii au Madrid yenye mabadiliko sehemu chache lakini nikuhakikishie Mou hajawahi kuniangusha katika ujenzi wa Ukuta na mfumo wa kujilinda.

Tuone usajili unaenda Vipi lakini tayari tuna Mtu mgumu pale kari Baily,tuna Muhuni Marcus Rojo,tuna kiungo mgumu,jeuri na Fundi Herera, tunahitaji Kiungo mmoja mgumu na katili aina ya Roy keen, na Mshambuliaji mmoja mwenye mapafu ya Mbwa atakayesaidiana na Marcus Rashford.

Sina tatizo na Full back zetu,Valencia na Darmian kama at a endelea kuaminiwa na kubaki pale Old T.

Tegemea mabadiliko makubwa sana kimchezo atakayokuja nayo Pogba.

Kazi ya Kumzuia Huyu Isco itafanywa na Herera, kumbuka mwakani Madrid inaweza kuwa na Hazard na De Gea.
 
Usisahau usajili mpya ambao utaanikwa hadharani hivi karibuni
 
Kwa goal la Mandzukic nahisi litampa hasira Perez kuweka dau mezani kwa De Gea. I had feelings kwamba De Gea angesave lile goal. Navas alitoka sana mbele.
 
Smalling na Jones hawatapata namba hata benchi sina uhakika
Jones ana bahati Mbaya,kipaji chake kimeharibiwa na Majeruhi ya mara kwa mara na ya muda mrefu hivyo kushindwa kudumu uwanjani lakini ni aina ya wachezaji Wenye roho ngumu wanapokuwa uwanjani.

Kwa ajili ya Mabadiliko na kupatikana kwa Man United mpya,nimtakie Mkono wa kwa Heri.

Smalling sina cha kuandika juu yake lakini niseme muda wake umeshaisha Pale United.
 
Back
Top Bottom