Giroud alikuwa mfungaji bora France. Ila alivyokuja England amekuwa kituko.Tunawahitaji wote wawili. Belloti no. 9 na Griezmann no. 10
Kwa maana Griezmann anacheza behind Belloti.
Tungelikuwa na Belloti nina uhakika ubingwa ulikuwa wetu. He is a poacher in front of a goal with chances after chances we created this season he could have been top EPL scorer with 30+ goals
Kwa hiyo? Manutd walimsajili Bebatov na Louis Saha wenye uzoefu wa kufunga magoli ndani ya EPL lakini matokeo yake hawakuwahi kushinda golden boot!Giroud alikuwa mfungaji bora France. Ila alivyokuja England amekuwa kituko.
Kuwa mfungaji bora kwenye nchi moja hakukufanyi uwike nchi nyingine.
Upo sahihi Griezman sio completely namba 9 ye ni namba kumi Zaidi, lakini faida yake anacheza namba,9,10,11,7 na mara chache namba 8 lakini kwenye hii hayupo vizuri sana.Sizani kama greizmann ni completely no. 9 striker! Kwangu nadhan belloti atafaa zaidi kama namba tisa...may be greizmann kama namba kumi au 11 au 7!! Pogba aendelee kama namba 8!
Umesema vema mkuu,ni sahihi Herera ni mmoja ya wachezaji waliofiti kwenye mifumo ya Mou pale Old T kwa haraka na sasa ni tegemeo kubwa sana la Mou hasa katika match anazohitajika kushinda,lakini uchezaji wa Herera toka ajiunge na Man U umekuwa wa kuridhisha na haikutegemewa kama angelimud soka la England kwa haraka Zaidi,mashabiki wa Man U wanamuona Herera kama Muingereza Zaidi kutoka na shughuli yake nyumbani.Uyo anayesema herrera hawezi kataa kwenda barca itakuwa akili zake zipo matakon kama za gigy money ....kama ujui mourinho yupo lazi amuuze de gea na rashford at the same time lakini sio herrera. Wachezaji waliofit mfumo wa mourinho msimu huu ni Valencia na Herrera. Herrera kaitwa national team for the first time......Herrera anapewa heshima kubwa sana na mafans wa man utd ...kuna mechi moja sijui ipi pale OT waingereza walimwandikia bango Herrera 'Herrera is not a Spaniard,he is English'.....sasa mpk waingereza walivyokuwa na nyodo na kulinga kwa kujiona taifa lao superior alaf wanakubatiza utaifa wao lazima ushtuke kidogo .....
Ander Herrera is upcoming Roy keane
Kwenye ukweli tuwe wakweli,nakubaliana na uchambuzi wako,pamoja na kuwa shabiki wa Man U toka nianze kushangilia mpira lakini kwa msimu huu bado hatujaona yale makali ya Pogba tuliyotarajia,naweza kumtetea inawezekana kutoka na mifumo ya kocha,Pogba ni mzuri akicheza kama kiungo mshambuliaji na huru akilindwa na Viungo Wengine wasaidizi.Tukubaliane, kutokubaliana. Spurs msimu huu ulioisha ndio timu iliyokuwa na viungo bora kabisa. Musa Dembele, kwangu huyu ndio kiungo bora kwa sasa pale epl. Jamaa anapiga soka la nguvu,(physics) la akili. Anajua. Huyu kwa wale mliowahi kumwona Patrick Viera hawa jamaa wanafanana sana kwa kila kitu.
Victor wanyama. Huyu ni zaidi ya aliyekuwa kiungo shoka Claudio Makelele. Pumzi, nguvu, stamina, anafunga. Wanyama huyu ni wa kumlinganisha na Kante. Ila kwangu Wanyama yupo juu ingawa kule primeir league wamempa Kante tuzo.
Ericksen. Kiungo mwingine mchezeshaji. Anapambana mwanzo mwisho. Ndio injini ya spurs kwa sasa.
Kiungo yeyote anapolinganishwa na Pogba ni kwa sababu ya thamani ya pogba kwa pesa mlizotumia kumpata. Na si kwa uchezaji wa uwanjani. Dembele, Hererra, Wanyama, na hata kina Toure wa city ni wszuri kuliko huyo Pogba.
Maamuzi ya Jose Mou kumuuza A. Martial ni katika kumsaidia Martial ,Mou hamuhitaji Martial na hana mipango naye msimu ujao ni bora kumpa nafasi katika timu nyingine,ila nadhani Mou angeendelea kumuamini Martial,ni mchezaji mzuri lakini ameshindwa kuperforme msimu huu katika aina ya soka la Mou.Nasikia Jose Mourinho anataka kumuuza Martial