Tatizo man u Kila mchezaji mnapeleka tamaaa YA kumnunua mwisho wa siku mtapata garasa kama la pogba..... Mnataka kununua wachezaji zaidi YA kumi Huku mlionao Wote mnawaona wazuri na kocha wenu mnamfahafu first eleven yake uwa aipanguliwiii.. Acheni tamaaaaa
 
4e783f1179ea701db3ddb18a0f44b495.jpg
 
Tatizo man u Kila mchezaji mnapeleka tamaaa YA kumnunua mwisho wa siku mtapata garasa kama la pogba..... Mnataka kununua wachezaji zaidi YA kumi Huku mlionao Wote mnawaona wazuri na kocha wenu mnamfahafu first eleven yake uwa aipanguliwiii.. Acheni tamaaaaa
Most passes on opponents' half this season.
1.Paul Pogba- 1029
2.Jordan Henderson -987
3.Mesut Ozil-954
4.David Silva-930
5.Eden Hazard-875
6.Ander Herrera-871
7.Ng'olo Kante-809
8.Christian Ericksen-795
9.James Milliner-772
10.Nathaniel Clyne-747

SOURCE :EPL 2016/17: Paul Pogba becomes first player to complete 1,000 passes in the opposition half

Angalia mchango wa pogba msimu wake wakwanza kutoa hayo anamakombe matatu,hebu tuambie ulitaka pogba afanyaje?

Hilo la sisi kuwa kila mchezaji tunampelekea tamaa umeliona wapi? Unashindwa hata kujiongeza kuwa katika kipindi hiki cha usajili kila mchezaji atahusishwa na man utd ili kuuza magazeti,na kupata views nyingi kwenye site zao.We kama shabiki wa mpira unajua rumors kweli?

Umesema tunataka kununua wachezaji zaidi ya 10 unauhakika? List ya Mou anayo Ed Woodward we umeipata wapi? Kama hujui kitu kuhusu man utd bora ukae kimya au uulize hapa hi ni thread husika utapata majibu yote yakuhusu hii club. Uwe na siku njema.
 
Alikua na hamu ya ku-komenti kwenye jukwaaa la mabosi wa EPL si unajua thread za haters hawanaga updates Kama huku
 
Tatizo man u Kila mchezaji mnapeleka tamaaa YA kumnunua mwisho wa siku mtapata garasa kama la pogba..... Mnataka kununua wachezaji zaidi YA kumi Huku mlionao Wote mnawaona wazuri na kocha wenu mnamfahafu first eleven yake uwa aipanguliwiii.. Acheni tamaaaaa
Unatukubali kiaina,hata avatar yako inajionesha.
 
Tatizo man u Kila mchezaji mnapeleka tamaaa YA kumnunua mwisho wa siku mtapata garasa kama la pogba..... Mnataka kununua wachezaji zaidi YA kumi Huku mlionao Wote mnawaona wazuri na kocha wenu mnamfahafu first eleven yake uwa aipanguliwiii.. Acheni tamaaaaa
36ea141854ba940eb0bd2d0022360a07.jpg
 
Tatizo man u Kila mchezaji mnapeleka tamaaa YA kumnunua mwisho wa siku mtapata garasa kama la pogba..... Mnataka kununua wachezaji zaidi YA kumi Huku mlionao Wote mnawaona wazuri na kocha wenu mnamfahafu first eleven yake uwa aipanguliwiii.. Acheni tamaaaaa
Kitu kimoja unachotakiwa kutambua ni kwamba katika kipindi hiki cha usajili magazeti yanakua hayana habari za uhakika za kuandika hivyo wanaweka udaku tu ili kupata wasomaji na kujaza kurasa.

Sasa wachezaji wengi wanakua wanahusishwa na Manchester United kwa sababu ni kubwa, yenye pesa na yenye fan base kubwa sana worldwide. Ni marketing strategy tu ya waandishi wa hayo magazeti.

At the end wachezaji wanaotakiwa na klabu yetu wanajulikana kwa bwana Woodward, hivyo siku wakisajiliwa tutawajua tu.

Karibu sana kwenye "the most active sports thread on JF"
.... GGMU.....
 
Wiki ijayo lazima Griezmann aripoti Old Trafford
Usajili utachelewesha kidogo kutokana na ratiba za match za timu ya taifa,ila natamani aje mapema lakini huu usajili utachukua muda kidogo kukamilika kutokana na nature yake,Atletico bado watakaza kupata offer nzuri, wanasubiri offer Zaidi za timu nyingine ingawa mchezaji binafsi ameshamalizana na Man United.
 
Back
Top Bottom