Fainali za ulaya nne na zote Mourhnio kakomba makombe yote
Mkuu usivamie party za wenzako huku unasambaza sumu ya Chuki fitina na uzandiki kakae nje man hatuko hivyo huwa tunaalika hadi wapinzani kusheherekea mafanikio... unafiki hauna nafasi Manchester United. .. you better get out nenda ccm huko ndio Pana kufaa sports ni upendo fair playBe careful kuna wahuni wamevamia sred yenu sababu tu mmefanya vyema!
Usikubali wakuzidi nguvu maana ww na wenzako mmeiendeleza hii thread hata team ilipokuwa very poor!
Mkuu hauko peke yako ....wengi tulihama naeMimi team mourinho.tumehama wote toka chelsea mpaka man u.
Vipi mkuu mna muda gani hamjashinda hata kikombe cha chai?Mkongwe Wamekunyang'anya sred yenu hawa WAHUNI wanao ibuka tu team ikifanya vyema?Pigania uchukue back thread yako maana ww na akina Rutashubuma mmekuwepo hapa kwa raha na karaha sio hawa wahuni
Ehehehe
Inabidi tuwape kibao cha NEY WAPOWale wapiga ramli wote wamekimbia.
Pole sana ndugu yanguTanesco wamenikatili leo dah
Umenichekesha sana asee!Mimi team mourinho.tumehama wote toka chelsea mpaka man u.
Kwema ndugu yangu? karibu tusherehekeeNaam Mkuu BAK kishawasili kitaa.
Lady Nifah tu hajavamia ana roho mbaya huyu hata kapongezi hamnaBe careful kuna wahuni wamevamia sred yenu sababu tu mmefanya vyema!
Usikubali wakuzidi nguvu maana ww na wenzako mmeiendeleza hii thread hata team ilipokuwa very poor!
Europa cup ni kakikombe kadogo sana wewee ...kikombe cha kawaida tu icho hakina pesa kama FA, mara kumi hata na carling cupChenu chenye uwezo kimefikia wapi?Sisi tuna ndoo ya Europa,mashindano ya pili kwa Ukubwa barani Ulaya,sisi ni wababe Zaidi ya Chelsea kwa sasa.
Next season tunaanza na UEFA Supercup,huko tunahamu napo maana baada ya sisi kuwa mapumzikoni hamna milichofanya Zaidi ya kukata viuno,tunarudi sasa kama sio fainal basi tutatolewa nusu fainal,record this comments.
Usimsahau na ngolo kante apo ana mbili zakeKikosi kibovu lakini kiliwafunga 2-0 nyie wenye kikosi bora
Hata kama europa cup iwe ina thamani ya senti moja sisi tulichotakaEuropa cup ni kakikombe kadogo sana wewee ...kikombe cha kawaida tu icho hakina pesa kama FA, mara kumi hata na carling cup
mimi huku chelsea huku yanga teh teh,, ilia pia nilipenda man u wabebe europa kwani namkubali sana mourhinyoHii timu haijawahi kuniangusha! Viva Man u.. Raha sana wakuu... Huku YANGA huku MAN U