Michael Anthon
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 219
- 110
Wanamzuka na Uefa
Nidhamu yake ni tata sana ni kama yule mdachi tuliyemuuzaSio mbaya kama tutafanikiwa kumpata Griezman lakini kwa mimi nadhani James Rodriguez ni mtu sahihi kuja Man U kati ya hawa wawili
Hahaaaaa!Arsenal wapo ?
Wameenda kuchinja ng'ombe wao aliowadanganyaArsenal wapo ?
HahahahaDaaaaadeki, kesho siendi kazin, nikae home nipige shangwe la maana,
Na yule ng'ombe wao alietabiri tumempika supu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Watakuwa na undugu na Chiba yule wa yamoto band.Kuna 3 wako kwenye magongo