Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukiuangalia hii lineup utaona Mhiki na Mata ni mawinga lakini hawatoi kross au kupanua uwanja.
Mhiki yuko sehemu yake lakini anapoteza mipira.
Mata hayuko eneo lake na kutopanua uwanja.
Kuwafunga Ajax lazima kupanua uwanja lakini Mata kahamia central midfield
 
Screenshot_2017-05-24-22-36-11.png
 
Rashford pia hakai mbele,mipira yote mirefu inakutana na kipa wa ajax au beki wao wa mwisho akiwa peke yake
 
Ukiuangalia hii lineup utaona Mhiki na Mata ni mawinga lakini hawatoi kross au kupanua uwanja.
Mhiki yuko sehemu yake lakini anapoteza mipira.
Mata hayuko eneo lake na kutopanua uwanja.
Kuwafunga Ajax lazima kupanua uwanja lakini Mata kahamia central midfield
Ajax ndo wanabana uwanja.
Leo wanatakiwa wasipewe nafasi ya kucheza mpira. Ndo maana mabeki wa United wakipata mpira wanapiga mbele. Hawawapi nafasi ya kumiliki mpira.
Ukipanua uwanja, utawapa nafasi ya kucheza mpira. Hapo ndo utawapa nafasi ya kupanga mashambulizi.
Huu mfumo nimeupenda. Ila tupunguze rafu na kuongeza umakini.
 
Man United tunacheza mpira mbovu. Hatutengenezi nafasi za magoli, tunajitahidi kuwazua Ajax kwa nguvu, lakini hatukai na mipira. Tunacheza mpira wa kuvizia. Chonde chonde Mourinho kibarua kitaota nyasi.
 
Ukiuangalia hii lineup utaona Mhiki na Mata ni mawinga lakini hawatoi kross au kupanua uwanja.
Mhiki yuko sehemu yake lakini anapoteza mipira.
Mata hayuko eneo lake na kutopanua uwanja.
Kuwafunga Ajax lazima kupanua uwanja lakini Mata kahamia central midfield
Kaka tunaua wingi zote ndio mana mbele tunamshambuliaji mmoja tu so tunaweka viungo wengi pale mbele ya goli kipindi cha kwanza kuwini goal la mapema na tumefanikiwa sana,kutokana na kurokuwepo kwa Baily tunalazimika kumchezesha Herera nyuma ya viungo kusaidia mabeki,kipindi cha pili ama baada ya kupata goli lingine kama tutapata mapema basi inabidi kumuingiza Carric kwa ajili ya Holding ya mipira na lingard kwa ajili ya kuimarisha ukabaji,kufunga kufuli kabisa,lakini tukizidiwa inabidi kujilipuwa na Rooney.

Up to now ur plan tumefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 60.

Tupo safe.
 
Back
Top Bottom