Good performance up to now from himPogba Leo katembelewa na nyota ya jaha
Game imemkataa kinoma leo, naona anacheza faulo tu na kupoteza mipira.Mhiki anapwaya sana labda afunge goli sijui ni nafasi ya winger wa kushoto haimudu?
Mfumo na maelekezo ya Kocha,anatakiwa kuwa makini sana,ukiingalia vizuri Ajax utaona wanapitia sana upande wakeMikhi anacheza faulo sana leo.
Naona anajua yapo mengi mbeleniBao lilipofungwa na Pogba, la ajabu Mourhnio hakushangilia hii ikoje?
