Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Pogbaaaaàaaa
Namtetea Rashfird yupo peke yake mbele,anakabwa na mabeki watatu lakini pressure ya mchezo imemzidi ila bado anatia matumaini,akipata nafasi anaweza kufanya kituLeo anazingua Kwa kweli
Angalia tu. Tunaongoza 0-2mm kwa pressure niliokuwa nayo ata kuangalia mpira siwez
Kwanini? Hahahamm kwa pressure niliokuwa nayo ata kuangalia mpira siwez