Tangu lini Ng'ombe akawa mtabiri???? wanazinguwa hao waholanzi sina kumbu kumbu kamili ila ilikuwa ni game za World cup hao waholanzi walitumia Jogoo kutabiri na bado wakapigwa goli.Nasikia kuna ng`ombe katabiri ajax kushinda dah sitalala aisee tukifungwa.
Bado lineups hazijatolewaTeam news bado akina Rutashubanyuma


