Nilisema hapo nyuma kuhusu game plan yetu ya leo na tumefanikiwa sasa kwa asilimia 100 kwa kupata magoli mawili ambayo ni muhimu sasa ni kulinda ushindi na kupoza mpira,Carric ana nafasi pamoja na Lingard kupunguza au kuzuia kadi nyekundu.
Huwa namuelewa sana Mou kwenye tactic hasa game za namna hii,alijiandaa na kuwandaa wachezaji kwa kipindi cha karibia wiki mbili.
Ona mabadiliko kwa Hererra na Pogba leo