Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ni Ajax tu wanaonyesha kiwango
Lingard muhimu leo kuingia hasa baada ya kupwaya kwa Mikh na Matta na kasi ya Ajax siyo ya kubezaMhiki kross yake kimeo nafikiri huenda kipindi cha pili atatolewa na aidha Lingard au Martial kumbadili
Yapo mengi ya kufungwaNaona anajua yapo mengi mbeleni
Naona umekosea jukwaa mkuuYapo mengi ya kufungwa
Anajitahidi kukabiliana na pressure ya mashabiki,pressure leo ipo juu sana kwa Mou kuliko kipindi kingine chochoteMourhnio anaonekana hana wasiwasi na ndoo ya leo
Nakubaliana na wewe kaka ila anatakiwa kuwa makini na kadi za kizembe na penaltyKamchagua Smalling kwa sababu alipona mapema na kuanza kucheza kwa hiyo yuko fiti zaidi ya Jones