Hoja sio kuchezeshwa? Na hakuna sehemu niliosema acheze tu sehemu yoyote, nilisema kama angepangwa rooney instead of zlatan nikimaanisha position, jee anachezeshwa position aliyokua akichezeshwa zlatan? Anatengenezewa nafasi kama alivokua akitengenezewa zlatan, usijifanye unajua mpira kuliko wengine, ulitoka povu na kunidharau niliposema hatuna nafasi ya kuingia top 4, ukaniambia nna mentality ya arsenal, nimekata tamaa, leo wewe na hao wenzako mnajifanya mnaujua mpira mnaona aibu, ndo mukome kudharau maoni ya wenzenuUlisema Zlatan ni mbovu kuliko Rooney awekwe benchi achezeshwe Rooney ndio tutashinda,Rooney anacheza siku hizi
Mpemba ,sijawahi kudharau maoni ya mtu hapa JF na sijawahi kupewa ban but kama unaongea pumba nitakueleza.Hoja sio kuchezeshwa? Na hakuna sehemu niliosema acheze tu sehemu yoyote, nilisema kama angepangwa rooney instead of zlatan nikimaanisha position, jee anachezeshwa position aliyokua akichezeshwa zlatan? Anatengenezewa nafasi kama alivokua akitengenezewa zlatan, usijifanye unajua mpira kuliko wengine, ulitoka povu na kunidharau niliposema hatuna nafasi ya kuingia top 4, ukaniambia nna mentality ya arsenal, nimekata tamaa, leo wewe na hao wenzako mnajifanya mnaujua mpira mnaona aibu, ndo mukome kudharau maoni ya wenzenu
Sijabadilisha maneno popote, kama una ishahidi weka, nilisema position anayocheza zlatan ndo achezeshwe rooney, sasa unamchezesha rooney kiungo halafu unataka kulinganisha na zlatan aliekua akicheza kama mshambuliaji wa mwisho na kutengenezewa nafasi nyingi na kuzipoteza?Mpemba ,sijawahi kudharau maoni ya mtu hapa JF na sijawahi kupewa ban but kama unaongea pumba nitakueleza.
Jamiiforums ni mahali ambapo kila mtu yuko free kutoa maoni yake na ni kawaida maoni ya yetu kupishana unapaswa kutoa hoja za msingi kutetea maoni yako
Now umebadilisha maneno tayari kwa hiyo Rooney anachezeshwa beki while Zlatan alichezeshwa striker na wachezaji wanafanya makusudi kutomtengenezea Rooney nafasi kama walivyokuwa wanamtengenezea Zlatan
Hayo ndo maneno yangu ya mwezi february, sasa nionyeshe hapo nilipobadilisha manenoBinafsi hadi leo naamini kama mou angempanga wazza instead of ibra angefanya vizuri kuliko ibra, bado naamini katika rooney, Zlatan anatengenezewa nafasi nyingi anazozitumia nichache, naamini kama nafasi zile angezipata captain leo tungekua mbali
Kwa hizo coment na ligi ilivoisha nani anaongea pumba na ujinga? Pumbavu kabisaPamoja nakuondoka nafasi ya sita, sioni kama tuna timu ya kupigana kuingia top four, badala yake naona tumeondoka kwa muda tu hiyo nafasi ya sita, wiki 3 zijazo uhakika tutakua nafasi ile ile ya 6 kama sio ya saba, hasa ukiangalia ratiba tulionayo, timu nyingi tulizobaki nazo ni ngumu na tunacheza nazo bila kupumzika
Hamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stress
Duh mkuu hayo ni maoni yangu si lazima ukubaliane nayo, kama hupendi kusikia tofauti na unavoona wewe, hama wewe, mimi sio mshabiki maandazi kama wengi wenu humu walivo
1.Nilikwambia replacement ya Ibra ni Rashford au Martial sio RooneySijabadilisha maneno popote, kama una ishahidi weka, nilisema position anayocheza zlatan ndo achezeshwe rooney, sasa unamchezesha rooney kiungo halafu unataka kulinganisha na zlatan aliekua akicheza kama mshambuliaji wa mwisho na kutengenezewa nafasi nyingi na kuzipoteza?
Na mimi hayo maswali yako yote nilishakujibu kwa ufasaha,1.Nilikwambia replacement ya Ibra ni Rashford au Martial sio Rooney
2.Issue ya Rooney kutochezeshwa striker nilishakueleza huko nyuma.Unafikiri ni kwa nini makocha kuanzia SAF,Moyes,LVG,Rodgson,Southgate na Mourinho now hawakumchezesha Rooney kama main striker ?
3.Unafikiri kama SAF(kocha ambaye alimfanya Rooney acheze vizuri kuliko wote) angekuwepo Rooney angekuwa anaichezea United leo ?
Mkuu tumefika huku? Kisa waingereza? Usifanye hivo aisee, tuna mambo mengi sana ya kuyaandika kuhusu timu yetu ila sio haya. Hope bro Bello utachukulia poaNa mimi hayo maswali yako yote nilishakujibu kwa ufasaha,
Nionyeshe wapi nimebalisha maneno kwenye hizo coments, punguan wahed
Hii sio mara ya kwanza unanitukanaNa mimi hayo maswali yako yote nilishakujibu kwa ufasaha,
Nionyeshe wapi nimebalisha maneno kwenye hizo coments, punguan wahed
Sasa una hoja iko wapi apo nimekuambia nioneshe nilipo badili maneno unakuja na blah blah zokoHii sio mara ya kwanza unanitukana
Hayo matusi unayotukana kila mtu anayafahamu na hapo ndipo unapojivua nguo kama huna uvumulivu wa hoja zangu kuna option ya "ignore " jaribu kuitumia.Kutofautiana maoni solution sio kutukana.
James rodrigues to united ?? Inamana dagea anaenda madrid ?