Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nafasi ya sita au ya tano zote sawa tu!
 
Kwa hiyo Makellele alikuwa anafunga magoli na kutoa assist ? Tangu atue England Kante amecheza mechi 70 kafunga magoli 2 na ameshinda ubingwa wa EPL mara 2
 
Kwa hiyo Makellele alikuwa anafunga magoli na kutoa assist ? Tangu atue England Kante amecheza mechi 70 kafunga magoli 2 na ameshinda ubingwa wa EPL mara 2
Huyo jamaa sijui Carrick kamkosea nini
Anarukaruka tu anashindwa kutetea anachokiandika
Bora aendelee kupost mapichapicha tu na siyo kuchambua mpira
Punguza pumba,Carrick kacheza UNITED misimu 11 na ameshinda ubingwa mara 5 kwa uchezaji huo unaouponda.Unafahamu kazi ya holding/defensive midfielder?
 
Sio kwamba hatukuwahi kuchukua ni kwamba zilikuwa sio level zetu daima tulikuwa tunalisikia tu.... Ila kwakuwa imebidi basi hatuna budi kulibeba....
 
uzuri unapolilia kufika sisi tushafika, kwa sasa tunakamilisha ratiba tu, hizo race zenu za 4 hazituhusu
 
Tuliwaambia mapema hapa kwamba hatuna timu ya kuingia top 4, mukatushambulia sijui una mentality ya arsenal, sijui umekata tamaa mapema, sasa munalialia nini? Tulieni nafasi yetu ni ya 6, msimu ujao tena
 
TOP FIVE BIGGEST SPENDER IN PL ERA AND PL WON

1: CFC: £1.25b - 5
2: MCFC: £1.21b-2
3: MUFC: £1.01b-13
4: LFC: £917m-0
5: SPURS: £727.5m-0

Dear rival fans, the next time you mock/question United's spending & value for money, pls make sure your club are doing it right before you poke your nose into other's club business.
 

mnamuonea Hugo kocha kwanza ni Bahat kuangalia Mpira toka octoba bila kupigwa had mwez huu Wa tano van gal alitutoa kwenye system naiman kubwa na mou atairejesha timu inapotakiwa
 
Timu inacheza kama ya simuyu bana,hamna mipango kabisa,ovyo ovyo..Rooney,carrick,jones,smalling,lingard waondoke tu..martial,mikhitaryan,darmian blind pia wafwatie..hamna haja ya kukaa na wachezaji wanaobahatisha
Usipaniki braza, hapo wakuondoka ni Smalling, lingard huyu kiwango chake haki improve kabisa, darmian, Rooney uwezo anao sema hajitumi, Mkubwa Fella, Young na blind
 
Punguza pumba,Carrick kacheza UNITED misimu 11 na ameshinda ubingwa mara 5 kwa uchezaji huo unaouponda.Unafahamu kazi ya holding/defensive midfielder?

Carrick amecheza zaidi ya mechi 350 United na amefunga magoli 30. Huyo ni holding mid.

Kumlaumu Carrick ni kumuonea tu.
 
Kweli kuna watu wanaangalia mpira na wengine wanatazama. Leo carrick amekua wa kusemwa hivyo duuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…