Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bailly, Valencia pogba and rashford rested. A debut for Tuanzebe and mcTominay when we were 2-0 down, but arsenal fans actually think we cared.
 
welbeck celebrating against his former club Vs van persie celebrating against his former club.
f8c2450fbf1cb3106e3da1611b6ea839.jpg
f39343e5f5bc440f1df0db181a23c2c9.jpg


the difference
 
I am disappointed with performance today imekua kama kawaida yetu pale tunapokua kwenye position ya grab top four position we just don't deliver....nafikiri imeshaandikwa tayari we will finish below top four but above Arsenal
Aah wapi tutamaliza nyuma ya Arsenal, nafasi yetu ni ile ile ya 6
 
Mourihno kila cku anasingizia uchovu,...ila man united,tunawachezaji wa kawaida sana asikwambie mtu..Rooney,Jones,Smalling,Martial,Darmian,Lingard,.
hawa wote waondeke msimu ujao tutafute wapiga kazi..
 
Baada Ya Mechi Yenu na Chelsea Tulipojaribu KuwaQuote Mulitufokea Sana!
Lakini Leo Nadhani Mumeona Madhara Ya Kuhadalika na "FALSE PERFORMANCE"....

Hile Performance Waliyoionesha Man U dhidi ya Chelsea ilikua sio Real Performance bali ni False Performance ambayo ilikuwa ni Ya Kukamia Gemu tu....

Lakini sasahivi ikowapi Performance ile muliyoOverrated Wachezaji Wenu??
 
Risk analysis sio nzuri sana aisee,hii kamari aliyoicheza leo Mou itamsumbua katika historia ya maisha yake katika soka.

Vema tukashinda game ya Alhamis,Celta vigo wakitushangaza basi ndio utakuwa Mwisho wa Mou.

Ila Celta Vigo alhamis watakaa Mapema sana.
Ai sio
 
Back
Top Bottom