Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Dakika ya 57
Arsenal 2-0 Manutd
Arsenal 2-0 Manutd
Unasemaje sasa mkuu?Kipindi cha kwanza Arsenal ilitawala cha pili waandike maumivu
Unetumwa weweJamani mpo huku? Mimi nazimia hapa kwa furaha
Kile kichwa cha Shaba Ranks si mchezoUnasemaje sasa mkuu?
De Gea kumbe kuruka hawezi?
Hahahaaaaa
Hahahaa! Mkuu umenikumbusha Shabba ranks na raggamuffin style...kitambo sana.Kile kichwa cha Shaba Ranks si mchezo
Kuna tatizo hapa mkuu?Unetumwa wewe