Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,501
- 911,251
Ninaafiki kabisa. Ukiangalia mechi nyingi tulimissi sana. Kross nyingi hakuna wa kuanganisha maana strikers wengi hawapo langoni na nafasi hizo Chicharito haachi mtubring back chicharito..