Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Chelsea ni bingwa hakuna ubishi hapo
Hahahaa! Tunamsubiri nae Celta vigo afanye maajabu ili Mourinho aijutie hii mechi iliyomcost.Tumekosa goli la wazi kabisa,daaaah!








Kucheza vyema ni kuzuia mabao. Welbeck kapiga free header on his watch. Kama Jones hakukaba mtu ila alidanganywa na mpira. Juventus huwezi kuwafunga free header. Tuanzebe alikuwa amsukume tu asingefungaLeo Tuanzebe kachenza vema sana
leo ukae nae mbali, mapenzi ya mpira achana nae.kama namuona mme wangu atakavorudi kavimba
yani nmefurahi
Phil jones pia atafute timu tutafute bek ingne... Chris ajipme kama kweli ana deserve 1st 11Hii game ya leo Mou ndio alaumie kwa kiwango kikubwa,hakwenda Emirates kutafuta Ushindi, alishakubali kufungwa kisaikolojia,na hata game plan inaonyesha hivyo, amepanga kikosi ilimradi amepanga nia ni kuwapumzisha baadhi ya wachezaji.
Ona formation,aina ya wachezaji,baada ya kufungwa magoli mawili ya haraka haraka akachanganyikiwa,unamuingiza Rashford afu unamtoa Herera Seriously?
Darmiana amekuwa uchochoro kwa kiasi kikubwa.
Martial nafasi aliyocheza haikuwa sahihi na kumsababishia kucheza chini ya kiwango.
Rooney msimu ujao atafute timu.
wivu huo, timu mbovu mngeshangilia kuifunga .Team flani mbovu mbovu
hamna niko swafi kabisa na wine yangu sina shida, nasubilia nikalale tu leo mapema kesho niwahi kibaruani.
Mtu mwenyewe anaitwa Tuanzebe unategemea niniTuanzebe kila ninapomwangalia alikuwa wapi wakati Welbeck akifunga kwa kichwa unajua haendi mahali
Lile la goli la smalling na tuanzebeKucheza vyema ni kuzuia mabao. Welbeck kapiga free header on his watch. Kama Jones hakukaba mtu ila alidanganywa na mpira. Juventus huwezi kuwafunga free header. Tuanzebe alikuwa amsukume tu asingefunga