Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Goli la pili kosa la kwanza amefanya Darmian kumruhusu Chambo kupiga krosi then Smalling ndio CB ndio alipaswa kuokoa ule mpira,Tuanzabe kacheza RB.Waliofanya makosa ni Darmian na Smalling.Tuanzebe amefanikiwa kuwazuia Sanchez na GibbsKucheza vyema ni kuzuia mabao. Welbeck kapiga free header on his watch. Kama Jones hakukaba mtu ila alidanganywa na mpira. Juventus huwezi kuwafunga free header. Tuanzebe alikuwa amsukume tu asingefunga