Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

266720d8f3d7f06a83d72854a71eb01f.jpg
Upo mkuu
 
Sourness asema mikakati ya Mourhnio haikubaliki kwa Manutd
Na mm naona somtime kweli haikubalik aisee... Angalau leo tumejua kuwa tunahitaj kusajil kikos cha pil kwa msimu ujao kwamba kama wachezaji fulan wanapumzishwa basi wanaoingia uwanjan siku hiyo ni zaid ya waliopumzshwa.....
 
Mourihno kila cku anasingizia uchovu,...ila man united,tunawachezaji wa kawaida sana asikwambie mtu..Rooney,Jones,Smalling,Martial,Darmian,Lingard,.
hawa wote waondeke msimu ujao tutafute wapiga kazi..
Kwa 60% nakubaliana na ww tutafute kosi la pili la kibabe la sivyo msimu ujao haya mambo ya kusema tunapumzisha wachezaji yata tukost kama yalivyotukost leo....
 
Mfa maji hahahahahahahajahahahahahahahahaha.

Hao reserve hawalipwi mshahara na klabu??

Hahahahahahahahahaha

Ntafurahi sana Man U na Arsenal zikibaki namba tano na sita msimu huu.
Hahahahah
Furahi sana ila usijilinganishe nasi. Tuna ndoo, tuna sahani na tuna ndoo ya Europa nyie mna nini?
 
Tuanzebe kacheza vizuri tu sijamuona sanchez kabisa na goli la welbek ni kosa la smalling na wenzie.
Mourihno kaamua kucheza pata potea leo kisa ueropa sasa huko wakapigane kufa na kupona maana bila hivyo usiku wa champions league tuusahau.
Hii timu zaidi za wachezaji 10 ni kuwauza tu.Sikutegemea kufungwa na arsenal aisee tumeruka city na chelsea tufungwe na arsenal dah.

Ndio washafungwa Kata rufaa
 
Back
Top Bottom