Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ramsey hajafunga goli kuanzia March 2015
Rooney anapata namba siku hizi,bado una maoni hayo ?Man u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!