Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

b88b5ca280c3060a518b41b2c0b10084.jpg
Kikosi cha leo
Tunashinda!
 
Toka Mou alipotupangia kikosi cha Chelsea game na akabring magic...hatukiwi kumjudge boss kwa kikosi kabla ya game
 
Hata mm Leo sina cha kusema ,namuachia José amue atakavyo
Haaa haaa haaa haaa kwa kweli,Kikosi kizuri nna Wasiwasi na defensive line up tu,Leo Herera,Rooney,Martial,Mik wanajukumu la kufunga tu
 
Our formation leo ni 4-5-1,kwa formation hii nadhani tungeanza na Rashford kupata goli la mapema Zaidi.
 
Our formation leo ni 4-5-1,kwa formation hii nadhani tungeanza na Rashford kupata goli la mapema Zaidi.
Mou akili yake imehamia Europa hapa anazuga tu... akishinda ni advantage akifungwa sawa tu.
 
Tukishinda leo baada ya Liverpool kuachia pointi mbili tuko vizuri top four na tuna mechi mkononi
 
Back
Top Bottom