Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Duh, mkuu man city na chelsea zipi ambazo hatujacheza nazo? Au siku hizi timu hua zinarejeana mara tatu?Hesabu za Mou katika hizi game za Mwisho zinaiweka man U katika nafasi ngumu ya kuingia top 4,tunatakiwa kucheza fainal ya Championship huku tukitakiwa kuingia top 4,afu hapo hapo tunakiwa kucheza na Man City,Chelsea,Asernal.
Hadi sasa tupo katika nafasi Salama.