Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tegemea robo SAA ya kipindi cha kwanza Southampton kutafuta magoli ya harakaharaka kama ile mechi ya Chelsea
 
Kuishinda manutd itabidi Southampton wawe wanaongoza kwa mabao mawili kipindi cha kwanza.
 
Rashford au Rooney ingawaje Rashford yuko kwenye chati hivyo aanze na Rooney atokee kwenye benchi kama ile mechi na Stokes City
 
Wayne Rooney's agent has flown to China to speak to clubs trying to sign the England captain from Manchester United.

Paul Stretford is holding talks with Chinese Super League clubs who want to sign Rooney before their window closes on Tuesday.

Guangzhou Evergrande, Beijing Guoan, Jiangsu Suning and Tianjin Quanjian are the interested clubs.
 
Ikakaa vizuri kila la kheri captain wetu mchango na utumishi wako hauta sahaulika hapa old Trafford
 
Man u fans wamekuwa wana mu underrate sana Rooney, kuna kipind kweli alikuwa anazingua ila kwa aina ya wachezaj walioko man u kwa sasa, bado Rooney angeweza akapata namba kiroho safi.
Mf. Rooney anaweza fanya kosa moja likaonekana zaid ya Ibra akifanya kama hayo manne, sijui ndo damu/ nyota ama vip!
 
Kweli tupu hii.
 
Tume kimiss kile kiwango chake..

Aondoke tu hata kesho kabla hatujabeba EFL hiyo jumapili
 
Back
Top Bottom