Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Arsene Wenger amtupia madongo Mourhnio kisa ni kuwalaumu hadharani wachezaji wake. Wenger adai hujitahidi sana kutowalaumu wachezaji wake hadharani kwa kuhofia kuwavunja moyo.
Musimu wake wa kwanza aidha Mourhnio kawalaumu akina Shaw, Mhiki na Martial hadharani ingawaje Mhiki kiwango kilipanda huku Martial kiwango kutoathirika na lawama tajwa.
Musimu wake wa kwanza aidha Mourhnio kawalaumu akina Shaw, Mhiki na Martial hadharani ingawaje Mhiki kiwango kilipanda huku Martial kiwango kutoathirika na lawama tajwa.