Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Earner wa nini? Tupe link tujisomee wenyewe.
Earner wa nini? Tupe link tujisomee wenyewe.
huyu mwana anapenda kuweka mascreen shoot, badala ya kutuwekea link, ananiboa kinyamaEarner wa nini? Tupe link tujisomee wenyewe.
Ninafikiri ungeanza kutusaidia hizo links app yangu haitoi links ila stories na picha.huyu mwana anapenda kuweka mascreen shoot, badala ya kutuwekea link, ananiboa kinyama
Ukishapata head go and Google acha uvuvi. Utafuniwe hata asante hauna bado unadai kumezewa huyo utamtoa wapi?Earner wa nini? Tupe link tujisomee wenyewe.
In the last seven years Liverpool has participated how many times to compare them with Real Madrid player who is a perennial participant in the champions league.Ronaldo has scored 8 goals in his last 3 champions league games, that's more than Liverpool have managed in the last seven years
watu hawana shukrani , hata kwa kidogo aiseee.Ukishapata head go and Google acha uvuvi. Utafuniwe hata asante hauna bado unadai kumezewa huyo utamtoa wapi?
Mbaya zaidi apps ninazotumia kunipa hizi khabari hazitoi links siwezi to Google for you.
You are asking and expecting for too much.
Lol, kwani walipigwa ban ya kutoshiriki uefa? ukilaza wao ndio unafanya wasishiriki,In the last seven years Liverpool has participated how many times to compare them with Real Madrid player who is a perennial participant in the champions league.
The comparative analysis unfair for Liverpool, though!
Wao kubandika links hawataki inachukua muda mwingi na kwenye magazeti mengi na mengine ninayalipia hata like hawatoi!watu hawana shukrani , hata kwa kidogo aiseee.
Ningependa kesho tushinde Liverpool akipoteza pointi top four yawezekana. Hii Euro hasa hawa Ajax huwezi jua biashara asubuhi.Kesho mou kashasema anachezesha vijana wake sababu top four ishakua ngumu hapa tulipobakiza ni europa tu. Sioni uwezekano wa top four kabisa tukipigwa na celta ndo basi tena msimu ujao europa tena.
binadam ndivyo tulivyo, ila wengine unatusaidia.Wao kubandika links hawataki inachukua muda mwingi na kwenye magazeti mengi na mengine ninayalipia hata like hawatoi!
Huyu ndiyo mbongo alivyo
Ukishapata head go and Google acha uvuvi. Utafuniwe hata asante hauna bado unadai kumezewa huyo utamtoa wapi?
Mbaya zaidi apps ninazotumia kunipa hizi khabari hazitoi links siwezi to Google for you.
You are asking and expecting for too much.
Shukrani kwa kuoni. Kubomoa kila wakati ni rahisi ila kujenga ni mengineyo.Ingekuwa Kila kinacholetwa humu tunatakiwa ku-google tungemaliza siku nzima kwenye uzi mmoja.
Acha kuwa selfish mkuu. Bora usilete kabisa hizo habari zako nusunusu.