Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_2017-05-06-22-20-46.png
 
Kwa jinsi Martial anavyocheza haendani na falsafa ya uchezaji ya Mourhnio kwa hiyo labda abadilike kwa kupunguza chenga nyingi na kupelekea kupoteza mipira mingi huku hafanyi jitihada kubwa kufunga mabao.

Kwa namna nyingi, kiuchezaji Martial hunikumbusha Nani
 
Mourhnio huenda akajaribu kumsajili Aguero kutoka ManCity kwa kitita cha £55mill. Hii ni baada ya kubainika Ibra hatarudia kiwango chake baada ya kuumia goti huku Guardiola kumpanga Jesus zaidi nafasi ya Aguero.

Screenshot_2017-05-07-08-44-26.png
 
Rashford aridhishwa na ukocha wa Mourhnio pamoja na rekodi yake ya kutokuamini sana makinda.

Screenshot_2017-05-07-08-54-33.png
 
Shabiki mkubwa wa Manutd Hussain Bolt kustaafu mbio huku akilenga kuwa mmoja wa mastrikers 50 bora duniani akifunga mabao 20 kwa musimu.

Nionavyo, mbio za kufukuzana na upepo siyo sawa na soka ambako kuna kukabwa koromeo
 
Mourhnio huenda akajaribu kumsajili Aguero kutoka ManCity kwa kitita cha £55mill. Hii ni baada ya kubainika Ibra hatarudia kiwango chake baada ya kuumia goti huku Guardiola kumpanga Jesus zaidi nafasi ya Aguero.

View attachment 505664
If true better aguero than griziman or bellot pesa nying better aguero kwa 55 atleast
 
Uzoefu wa majeraka ya goti kwa wachezaji wa umri wa miaka 35 au zaidi ni kuwa uuguzaji wake huchukua muda mrefu na kiwango hushuka sana.

Kwa kuzingatia hayo yote, Ibra Kaanza kufungasha virago vyake Manchester..

Screenshot_2017-05-07-08-48-35.png
 
Damian adai yuko "happy" na Mourhnio baada ya kupata nafasi nyingi za kucheza huko awali ilikuweko minong'ono kuwa kukaa benchi kulimchosha na alikuwa tayari kurudi Italy huku vilabu kadhaa vikimnyemelea hasa kwa mkopo.

Screenshot_2017-05-07-08-49-24.png
 
Mourhnio kajipima hajali maneno ya watu adai musimu wake wa kwanza Manutd ni wa mafanikio makubwa hasa kuijenga klabu na timu kiupya kabisa

Screenshot_2017-05-07-10-14-28.png
 
Back
Top Bottom