Ferrenga
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 942
- 1,659
Zlatan imetosha sasa inabidi tu aondoke,kadri siku zinavyoenda ndo anavyozidi kuwa mzito,hana kasi kabisa,na ndo anayepooza mashambuli,na hakika pia angeanza gemu ya chelsea tusingekuwa kwenye kiwango kile.Anamiss chansi nyingi sana na hilo sio jana tu,toka mwanzo wa msimu.Goli alizofunga sio sababu,ila hakika msimu ujao tunatakiwa kuwa na straika mwingine mwenye uwezo mkubwa na kasi ili kuimarisha kikosi chetu..
