Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Zlatan imetosha sasa inabidi tu aondoke,kadri siku zinavyoenda ndo anavyozidi kuwa mzito,hana kasi kabisa,na ndo anayepooza mashambuli,na hakika pia angeanza gemu ya chelsea tusingekuwa kwenye kiwango kile.Anamiss chansi nyingi sana na hilo sio jana tu,toka mwanzo wa msimu.Goli alizofunga sio sababu,ila hakika msimu ujao tunatakiwa kuwa na straika mwingine mwenye uwezo mkubwa na kasi ili kuimarisha kikosi chetu..
Laccazete je hafai au
 
Nipo zangu napumzika naangalia highlight reply ya Man United na Chelsea yaani jamani acha tu ilikuwa raha sana ilikuwa bonge la match!!! natamani hata Dstv wairudie tena
Taratibu Chelshi wasikusikie, kushinda raha sana.
 
Alitupa aibu tupu

Nakumbuka siku hiyo nilikasirika kinoma bado kidogo niue paka wangu kwa hasira
babu alipigwa nje ndani bilbao ya akina martinez ilikua sumu balaa kocha unai emery wa psg
 
Back
Top Bottom