Manchester United (Red Devils) | Special Thread

a2ba82a50c634f481ec401b4203a9ede.jpg
 
baada ya kufungwa na chelsea kwenye FA cup nakumbuka niliandika ndani ya thread hii ya kwamba hatuwezi kuifunga chelsea kama tunashindwa kumzuia eden hazard namshukuru jose huko aliko amekisikia kilio changu.
kama tutarudisha kumbukumbu kwenye mechi ya FA cup utagundua ya kwamba mourinho alimpa jukumu phil jones kupambana na hazard ila alishindwa kumdhibiti jambo ambalo lilipelekea madhara makubwa sana kwenye ile mechi kabla hata ya herrera kupewa kadi nyekundu, tofauti na mechi ya jana mourinho jukumu lile alilihamishia kwa midfield ambaye ni herrera (one man mark) kumdhibiti hazard na kiukweli herrera hata asingefunga goli na kutoa assist mimi ningelimchagua kuwa ni man of the match kwa jinsi alivyofanikiwa kumdhibiti eden hazard.
907325.jpg

hazard ndie mchezaji ambaye amehusika katika utengenezaji wa mabao mengi na ndie kiungo aliyefunga mabao mengi. popote aliposimama hazard jana mita chache nyuma alisimama herrera jambo ambalo liliua counter attack style ya chelsea, style hii niliwahi kuishuhudia miaka kama 10 iliyopita wakati gattuso (jesus) anamdhibiti cristiano ronaldo ndani ya san siro.
pia jambo jengine alilofanikiwa jose ni kuwatumia lingard na rashford kama ni striker force na kukosekana kwa alonso ilikuwa ni tatizo kubwa sana halafu cha kusikitisha zaidi nimegundua central defence ya chelsea ni wazito sana.
907323.jpg

pia jose alicheza karata yake vizuri sana baada ya kumuingiza carrick kwa sababu uwepo wa fabregas kulisababisha chelsea kubadili style na kucheza 4+2+3+1 na ukiangalia baada ya carrick kuingia timu ilibadili style na kucheza 5+1+2+1 ambapo kama kawaida herrera aliendelea na kujukumu lake la kumzuia hazard.
hazard kipindi cha mwanzo hakuweza kutengeneza nafasi hata moja, hakupiga shoot hata moja wala hakuweza ku dribble hata mara moja lakini ukimuangalia herrera 100% alifanikiwa kwenye tackle.
907331.jpg
907328.jpg

kiukweli kwa mambo aliyoyafanya jana jose mourinho ametukata mdomo sisi sote mashabiki maandazi na nimejigundua mimi binafsi sijui chochote kuhusiana na mpira na sistahili kuwa mshabiki wa mpira naamini hata humu wamo mashabiki kama mimi ambao hata tiketi original ya kuangalia mpira old trafford hawajawahi kuiona na wala hawajawahi kufika hata AON Complex ila ni mabingwa wa kukejeli tactics za mourinho, nimejaribu kuzipitia comment zote kuanzia page ya 366 naamini wapo member ambao wanatamani comment zao wazifute kutokana na maneno walioaandika, ila naamini yote inatokana na khofu na moyo wa dhati wa kupenda kuona timu yetu inafanikiwa.
907329.jpg

kuanzia leo
  • sitalalamika tena eti kwa sababu gani jose anampanga lingard na hata akiamua kumpa tena mkataba wa pound 200000 kwa wiki sitalalamika kwa sababu yeye ndie anafahamu kuhusiana na ubora wa lingard.
  • sitalalamika tena kwa nini jose anampenda fellaini
  • sitalalamika tena kwa nini martial hapewi nafasi
tumuache jose mourinho afanye kazi yake ila heshima kwenu
RRONDO
kisu cha ngariba
Belo
naamini ndani ya thread hii nyinyi ni washabiki wakweli wa manchester united
 
[*]sitalalamika tena eti kwa sababu gani jose anampanga lingard na hata akiamua kumpa tena mkataba wa pound 200000 kwa wiki sitalalamika kwa sababu yeye ndie anafahamu kuhusiana na ubora wa lingard.
[*]sitalalamika tena kwa nini jose anampenda fellaini
[*]sitalalamika tena kwa nini martial hapewi nafasi
[/LIST]
tumuache jose mourinho afanye kazi yake [/
 
Kwa hisani ya mkuu Papui
Nimejifunza kitu
 
baada ya kufungwa na chelsea kwenye FA cup nakumbuka niliandika ndani ya thread hii ya kwamba hatuwezi kuifunga chelsea kama tunashindwa kumzuia eden hazard namshukuru jose huko aliko amekisikia kilio changu.
kama tutarudisha kumbukumbu kwenye mechi ya FA cup utagundua ya kwamba mourinho alimpa jukumu phil jones kupambana na hazard ila alishindwa kumdhibiti jambo ambalo lilipelekea madhara makubwa sana kwenye ile mechi kabla hata ya herrera kupewa kadi nyekundu, tofauti na mechi ya jana mourinho jukumu lile alilihamishia kwa midfield ambaye ni herrera (one man mark) kumdhibiti hazard na kiukweli herrera hata asingefunga goli na kutoa assist mimi ningelimchagua kuwa ni man of the match kwa jinsi alivyofanikiwa kumdhibiti eden hazard.
907325.jpg

hazard ndie mchezaji ambaye amehusika katika utengenezaji wa mabao mengi na ndie kiungo aliyefunga mabao mengi. popote aliposimama hazard jana mita chache nyuma alisimama herrera jambo ambalo liliua counter attack style ya chelsea, style hii niliwahi kuishuhudia miaka kama 10 iliyopita wakati gattuso (jesus) anamdhibiti cristiano ronaldo ndani ya san siro.
pia jambo jengine alilofanikiwa jose ni kuwatumia lingard na rashford kama ni striker force na kukosekana kwa alonso ilikuwa ni tatizo kubwa sana halafu cha kusikitisha zaidi nimegundua central defence ya chelsea ni wazito sana.
907323.jpg

pia jose alicheza karata yake vizuri sana baada ya kumuingiza carrick kwa sababu uwepo wa fabregas kulisababisha chelsea kubadili style na kucheza 4+2+3+1 na ukiangalia baada ya carrick kuingia timu ilibadili style na kucheza 5+1+2+1 ambapo kama kawaida herrera aliendelea na kujukumu lake la kumzuia hazard.
hazard kipindi cha mwanzo hakuweza kutengeneza nafasi hata moja, hakupiga shoot hata moja wala hakuweza ku dribble hata mara moja lakini ukimuangalia herrera 100% alifanikiwa kwenye tackle.
907331.jpg
907328.jpg

kiukweli kwa mambo aliyoyafanya jana jose mourinho ametukata mdomo sisi sote mashabiki maandazi na nimejigundua mimi binafsi sijui chochote kuhusiana na mpira na sistahili kuwa mshabiki wa mpira naamini hata humu wamo mashabiki kama mimi ambao hata tiketi original ya kuangalia mpira old trafford hawajawahi kuiona na wala hawajawahi kufika hata AON Complex ila ni mabingwa wa kukejeli tactics za mourinho, nimejaribu kuzipitia comment zote kuanzia page ya 366 naamini wapo member ambao wanatamani comment zao wazifute kutokana na maneno walioaandika, ila naamini yote inatokana na khofu na moyo wa dhati wa kupenda kuona timu yetu inafanikiwa.
907329.jpg

kuanzia leo
  • sitalalamika tena eti kwa sababu gani jose anampanga lingard na hata akiamua kumpa tena mkataba wa pound 200000 kwa wiki sitalalamika kwa sababu yeye ndie anafahamu kuhusiana na ubora wa lingard.
  • sitalalamika tena kwa nini jose anampenda fellaini
  • sitalalamika tena kwa nini martial hapewi nafasi
tumuache jose mourinho afanye kazi yake ila heshima kwenu
RRONDO
kisu cha ngariba
Belo
naamini ndani ya thread hii nyinyi ni washabiki wakweli wa manchester united
Tuambie huyo lingard nini kafanya mechi ya jana, na sio ya jana tu lete mechi yoyote lingard aliocheza vizuri, pale hamna mchezaji pale, usione kwa sababu timu imeshinda ndo imeficha udhaifu wake, hana mchango wowote kwenye timu,
Huyo prondo mwenyewe alishakata tamaa na kikosi baada ya kuona kikosi kilichoanza, fuatilia kabla ya mchezo alisemaje baada ya kuona kikosi, halafu achen ushamba, kupita karibu na kiwanja cha mazoezi cha manchester au kuona tiketi og hakukufanyi wewe kujua kuuzungumzia mpira kuliko wengine, mnajishaua kwa sababu tu mliwahi kupita karibu na AON complex, huo ni ushamba
 
Tatizo la Man U ni kukamia timu kubwa na kushindwa kuchukua pointi nyepesi kwenye vitimu vidogo.Timu ngumu ngumu zipo kama 5 au sita hivi.Timu za kawaida zipo kama 15 hivi.
Hapa bila shaka unawasema Liverpool ambao hawajafungwa na timu yoyote top 7. Alishindwa kumfunga Man U tu baada ya kutoa sare mechi zote 2.
 
Tuambie huyo lingard nini kafanya mechi ya jana, na sio ya jana tu lete mechi yoyote lingard aliocheza vizuri, pale hamna mchezaji pale, usione kwa sababu timu imeshinda ndo imeficha udhaifu wake, hana mchango wowote kwenye timu,
Huyo prondo mwenyewe alishakata tamaa na kikosi baada ya kuona kikosi kilichoanza, fuatilia kabla ya mchezo alisemaje baada ya kuona kikosi, halafu achen ushamba, kupita karibu na kiwanja cha mazoezi cha manchester au kuona tiketi og hakukufanyi wewe kujua kuuzungumzia mpira kuliko wengine, mnajishaua kwa sababu tu mliwahi kupita karibu na AON complex, huo ni ushamba
sifikirii kama mimi nimezungumza lugha ya kejeli au ya dharau katika comment yangu, mimi binafsi sijawahi hata kupanda ndege kwa hivyo huko carrington sijawahi kufika.

Pia hakuna sehemu yoyote ile niliyomsifu lingard kutokana na performance yake tokea acheze manchester united, kwangu namuona ni mchezaji anayepaswa kuisaidia sunderland isishuke daraja kama adnan januzaj nasi manchester, nimejaribu kuwasilisha hisia zangu kwa kiswahili chepesi sana na nimesema inawezekana mimi na wewe na washabiki wengine duniani hatuoni mchango wowote ule wa lingard ndani ya manchester ila jose mourinho ambaye ndie manager wa timu na ndie anayesimamia timu pale AON Complex ndie anayefahamu umuhimu wa lingard na ndio maana anampa nafasi.kwa hivyo hata tukilalamika haisaidii kitu yeye mourinho ndio dereva wa BUS
upload_2017-4-17_15-22-13.jpeg
images

sasa sijui kosa langu liko wapi? na ndio maana nikasema kuanzia sasa sitahoji jambo lolote lile atakaloamua mourinho kwa sababu yeye ndio manager hawezi kuingiliwa maamuzi yake hata na ED WOODWARD.
hivi unahisi mimi najisikia furaha
  • ninapomuona martial anasugua benchi?
  • schwensteiger anawekwa nje na nafasi yake anapewa fellaini mpaka anaamua kuhama?
  • darmian anacheza mechi nyingi kuliko shaw?
 
Tatizo la Man U ni kukamia timu kubwa na kushindwa kuchukua pointi nyepesi kwenye vitimu vidogo.Timu ngumu ngumu zipo kama 5 au sita hivi.Timu za kawaida zipo kama 15 hivi.

EPL klabu kubwa ya kwanza ni Manchester united. Sasa hapo anakamiaje timu kubwa wakati zote kwake ni club ndogo mkuu? Au umeanza kushabikia baada ya Magu kuwa rais ili kuondoa stress za maisha.
 
View attachment 497446
images

sasa sijui kosa langu liko wapi? na ndio maana nikasema kuanzia sasa sitahoji jambo lolote lile atakaloamua mourinho kwa sababu yeye ndio manager hawezi kuingiliwa maamuzi yake hata na ED WOODWARD.
hivi unahisi mimi najisikia furaha
  • ninapomuona martial anasugua benchi?
  • schwensteiger anawekwa nje na nafasi yake anapewa fellaini mpaka anaamua kuhama?
  • darmian anacheza mechi nyingi kuliko shaw?
Mchana mwema mkuu, ila wapo wanaojifaharisha kwa hilo, kuona wote hawapaswi kuongea wanachokiamini eti kwa sababu yeye aliwahi kufika karibu tu na hiyo AON COMPLEX, wanakuja humu na tambo zao, yeye ndo anajua kila kitu, huo ni ulimbukeni
 
Tuambie huyo lingard nini kafanya mechi ya jana, na sio ya jana tu lete mechi yoyote lingard aliocheza vizuri, pale hamna mchezaji pale, usione kwa sababu timu imeshinda ndo imeficha udhaifu wake, hana mchango wowote kwenye timu,
Huyo prondo mwenyewe alishakata tamaa na kikosi baada ya kuona kikosi kilichoanza, fuatilia kabla ya mchezo alisemaje baada ya kuona kikosi, halafu achen ushamba, kupita karibu na kiwanja cha mazoezi cha manchester au kuona tiketi og hakukufanyi wewe kujua kuuzungumzia mpira kuliko wengine, mnajishaua kwa sababu tu mliwahi kupita karibu na AON complex, huo ni ushamba

Povu lote la nini mkuu? Jamaa katoa analysis yake kistaarabu bila hata kebehi, ila mkuu dah jaribu kuwa na busara. Comments zako nyingi sana huwa unatumia lugha isiyo rafiki. We are all United ujue. We are not like em rent boys wazee wa lugha mbofu mbofu.
 
Huyo nilishampuuza siku nyingi nashangaa ananitaja sijui iweje. Niliemwambia habari za Carrington wala hakuwa offended ila yeye ni kimemuuma sana. Btw mshabiki gani ana chuki na wachezaji wa timu yake kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom