Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa jinsi tunavyotengenza nafasiza kufunga i cant wait for Top striker aje pale ili adabu irudi kama zamani.
Top strikers wenyewe siku hizi majanga wako wachache sana kila mtu anamtolea macho,yaani inabidi hizi academy zetu zipikwe vizuri zitoe vijana machachali watakao tufaa,ila kwasasa mfano tukimpata Griezman sipati picha United yetu itakuwaje!!!
 
Sifurahii kuumia kwa zlatan lakini afadhali atakaa nje, mwengine ni lingard natamani nae apatwe na tatizo japo la kiafya litakalomfanya akae nje mpaka msimu uishe, hao wachezaji wawili ni mizigo pale utd, nimaoni yangu
 
Nipo zangu napumzika naangalia highlight reply ya Man United na Chelsea yaani jamani acha tu ilikuwa raha sana ilikuwa bonge la match!!! natamani hata Dstv wairudie tena
Ile pasi ya Ander Herrera mpaka leo najiuliza, alipimaje ile pasi mpaka ikamkuta Rashford.
 
Sifurahii kuumia kwa zlatan lakini afadhali atakaa nje, mwengine ni lingard natamani nae apatwe na tatizo japo la kiafya litakalomfanya akae nje mpaka msimu uishe, hao wachezaji wawili ni mizigo pale utd, nimaoni yangu
Sawa kabisa mkuu,huyu zlatan ndo katufanya tuwe nafasi hii tuliyopo..hii itasaidia man u waingie sokoni kutafuta straika mwenye makali,sio kama huyu mzee..mechi zilizobaki rooney apewe nafasi na yeye kidogo
 
5548c171797c464c3bf0818e41a5f08a.jpg
 
Sifurahii kuumia kwa zlatan lakini afadhali atakaa nje, mwengine ni lingard natamani nae apatwe na tatizo japo la kiafya litakalomfanya akae nje mpaka msimu uishe, hao wachezaji wawili ni mizigo pale utd, nimaoni yangu
Mhhh!! Ni maoni yako lakini hapo best angu umevuka mipaka kumuombea mabaya hayo ..... "mimi binafsi imani yangu hapa duniani ni kwamba kila mtu ni wa muhimu haijalishi vipi, na mtu huyo ni wa pekee sana na hamna mbadala wake huyo mtu kwa vipaji na talanta alizopewa na Mungu". Hivyo naamini mpka Lingard kuwa United kuna vitu alikuwa navyo ni vya upekee vikamruhusu kuwepo MANU,na mpka big boss anampanga ameona kuna vya upekee vinavyostahili yeye kuwepo uwanjani doesnt matter Lingard is delivered those uniques or not ....... time will tell if he is good or not..... anyway its my opinion too...
 
Timu lenu halina kiwango cha kucheza uefa ...nyie mtaishia Europa tuu
Wewe nawe utaishiaga hayo hayo wewe na li UEFA lako umefika wapi? Miaka nenda rudi unasindikiza tu toka nimekuwa katoto mpka sasa mzee mnaishia njiani tu.
 
Sawa kabisa mkuu,huyu zlatan ndo katufanya tuwe nafasi hii tuliyopo..hii itasaidia man u waingie sokoni kutafuta straika mwenye makali,sio kama huyu mzee..mechi zilizobaki rooney apewe nafasi na yeye kidogo

Kweli kabisa Zlatan ndio kafanya tuwe hapa tulipo,mpaka sasa kafunga magoli 28 na anaemfata ana magoli 10. Kama sio yeye leo tungekua tunapigana vikumbo nafasi ya 10.
 
Kweli kabisa Zlatan ndio kafanya tuwe hapa tulipo,mpaka sasa kafunga magoli 28 na anaemfata ana magoli 10. Kama sio yeye leo tungekua tunapigana vikumbo nafasi ya 10.
Nani amekudanganya wewe,mechi karibia zote zlatan kacheza full time,na amecheza mechi nyingi kuliko wengine..
 
Kweli kabisa Zlatan ndio kafanya tuwe hapa tulipo,mpaka sasa kafunga magoli 28 na anaemfata ana magoli 10. Kama sio yeye leo tungekua tunapigana vikumbo nafasi ya 10.
Niambie gemu ambazo hakucheza zlatan tulipoteza point ngapi, mi naona gemu ambazo hakuepo ndo tulichukua point 3 kirahisi, ishu sio kafunga magoli mangapi, ishu ni katengenezewa nafasi ngapi za wazi kapoteza, kama asingekuepo naamini tungekua tunaongoza ligi
 
Back
Top Bottom