Hatushindwiii!!!Semi finals.
Celta Vigo
Man utd
Ajax
Lyon
Samahani mkuu wao ndo wanatakiwa wawe makini na Mou...kwani Mou sio mtu wa kispot spotAsee ilikuwa hatari sana afadhali tumeingia nusu fainali ila bado kuna mziki mnene sana kwenye hizi timu zilizoingia morinho inabidi awe makini sana
Ahsante sana mdau.....unatusaidia tunakuwa live nasisi kupitia kwako be blessed!Usiku mwema
Kivip"Kulikuwa hakuna haja ya kwenda dakika za nyongeza "mwisho wa kujinukuu
Tumekosa sana magoliKivip
Wote tuliongia nao semifinal si wa sportsport inabidi utaalamu wa morinho utendeke kama kwa chelseahope tunapangwa na Celta vigo for semi finals.
Hongereni mashabiki kwa futuhi nzuri ya jana, mzee wa kukurupuka Ibra aliboa sana jana.....anyway kila mtu na siku yake,all in all am happy tuko nusu fainali,naiona kesho yangu ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nimenyanyua kwapa na likombe la Europa lileeeeeeeeeeeeee!!!!
Keep Dreaming for Your false hope.....