K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 21, 2017 #64,101 Leo ingekuwa Real wangepewa japo moja ila mhh
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 21, 2017 #64,102 Mpira umekwisha Manutd 3-2 Anderlecht
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 21, 2017 #64,103 Katika siku ambayo uzembe ulizidi kipimo ni leo
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Apr 21, 2017 #64,104 Rutashubanyuma said: Anderlecht wakifunga Manutd nje ya mashindano Click to expand... kwanini mkuu ingekuwa hivyo??extra time habari ya magoli ya ugenini inakuwa imeshakufa mkuu
Rutashubanyuma said: Anderlecht wakifunga Manutd nje ya mashindano Click to expand... kwanini mkuu ingekuwa hivyo??extra time habari ya magoli ya ugenini inakuwa imeshakufa mkuu
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Apr 21, 2017 #64,105 GGMU
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 21, 2017 #64,106 Ila Mou ajifunze kwa mechi ya leo
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 21, 2017 #64,107 Rashford anachechemea kidogo nadhani yuko fiti
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Apr 21, 2017 #64,108 Thank you all
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 21, 2017 #64,109 Manutd nusu fainali
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 878 Apr 21, 2017 #64,110 Ushindi lakini sio wa kuridhisha .....wanakosaje goli nyingi hivi. Wananipa ugonjwa wa moyo tu.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,504 Reaction score 911,249 Apr 21, 2017 #64,111 Usiku mwema
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 21, 2017 #64,112 Schalk 04 3 Ajax 2 agg 3-4
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 21, 2017 #64,113 Rutashubanyuma said: Usiku mwema[/QU Naangalia penati Baskitas vs Lyon Click to expand...
Jozzy Senior Member Joined May 27, 2013 Posts 126 Reaction score 124 Apr 21, 2017 #64,114 Tumevuka kihunzi kingine, hongera kwetu wadau. It was a good match. The lads fought.
CHEKA UPIGWE JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 252 Reaction score 176 Apr 21, 2017 #64,115 Jaman vip matokeo ya kina Samata?.
SAVAGE AF JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 826 Reaction score 1,707 Apr 21, 2017 #64,116 CHEKA UPIGWE said: Jaman vip matokeo ya kina Samata?. Click to expand... 1-1 wametoka kwa agg 3-4
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Apr 21, 2017 #64,117 Huu mzimu wa kukosa magoli ndio penye ligi imetuweka nafasi tuliopo sijui mou mwa40 wake ataupata lini. Hongera wachezaji na mashabiki wote wa United.
Huu mzimu wa kukosa magoli ndio penye ligi imetuweka nafasi tuliopo sijui mou mwa40 wake ataupata lini. Hongera wachezaji na mashabiki wote wa United.
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,698 Reaction score 9,051 Apr 21, 2017 #64,118 Zlatan na rashford wamekosa magoli mengi ya wazi kuna shida kwenye umaliziaji wangekuwa makini tungemaliza ndani ya dk 90 game
Zlatan na rashford wamekosa magoli mengi ya wazi kuna shida kwenye umaliziaji wangekuwa makini tungemaliza ndani ya dk 90 game