Kamshangilie bashite ndio kazi unayoiweza...Leo wekundu naona mmefurahia sana, ila afadhali Man U hawajamtia aibu tena Mourinho.
Ni kweli... huwa anajifunza makosa sana.Sifa moja ya Mourinho ukimfunga mara ya kwanza next game anakuwa amejifunza so inabidi ujiandae sana,Game ya kwanza El Classico Pep alimfunga 5au 6 game zilizofuatia Pep alikuwa anapata tabu sana na msimu huu baada ya kufungwa na Pep na Conte mechi zilizofuatia amewapa wakati mgumu
Na hiyo September 2007 ilikuwa na Man U tena.Actually kwa mara ya kwanza toka September 2007!
Unataka upate ubingwa kupitia mgongo wa MAN U? Unataka man u akurahisishie njia kwa kumfunga Tottenham ee?Leo mnatusumbua mjini ..kushinda leo basi imekuwa ni kelele ...![]()
![]()
shindeni na kwa toti sasa ...acheni kelelee
Ahahahaha ata mim nataman tukishajihakikshia nafasi ya UEFA..hyoo game na tot tuuze tu ahahahahaUnataka upate ubingwa kupitia mgongo wa MAN U? Unataka man u akurahisishie njia kwa kumfunga Tottenham ee?
Atutegemei timu yenu ili tuwe mabingwa wewee ..ubingwa tunao tayari. .ila ni vizuri mkashinda kwa faida yenu. ..Unataka upate ubingwa kupitia mgongo wa MAN U? Unataka man u akurahisishie njia kwa kumfunga Tottenham ee?
UEFA ipi iyoo labda ya Africa. .underletch anakuja kuwazaba hapo hapo na hamta amini ..kuifunga Chelsea basi mmejiona wazurii ..timu mbovu tuuAhahahaha ata mim nataman tukishajihakikshia nafasi ya UEFA..hyoo game na tot tuuze tu ahahahaha
Tuliza kijambio ndugu kante...UEFA ipi iyoo labda ya Africa. .underletch anakuja kuwazaba hapo hapo na hamta amini ..kuifunga Chelsea basi mmejiona wazurii ..timu mbovu tuu
Duuh! Ndio kusema leo unapenda MAN U ipate mafanikio kiasi hicho?Atutegemei timu yenu ili tuwe mabingwa wewee ..ubingwa tunao tayari. .ila ni vizuri mkashinda kwa faida yenu. ..
Ahahaha mpira mahesabu boss..unakumbuka team ambayo sir alex alichukua nayo ubingwa wakat anastaafu ile ilikuwa mbovu zaid ya hii..subili hutoamin macho yako..pia kumbuka tuna option mbili za kuingia UEFAUEFA ipi iyoo labda ya Africa. .underletch anakuja kuwazaba hapo hapo na hamta amini ..kuifunga Chelsea basi mmejiona wazurii ..timu mbovu tuu
Mna option moja tu Europa ...huku kwingine nafasi zimejaa, na Europa kazi bado mnayo.Ahahaha mpira mahesabu boss..unakumbuka team ambayo sir alex alichukua nayo ubingwa wakat anastaafu ile ilikuwa mbovu zaid ya hii..subili hutoamin macho yako..pia kumbuka tuna option mbili za kuingia UEFA
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Namwombea njaa apoteze gemu zoteeeee ...Duuh! Ndio kusema leo unapenda MAN U ipate mafanikio kiasi hicho?
Hiyoo unasema wewe..tunza maneno yako tuMna option moja tu Europa ...huku kwingine nafasi zimejaa, na Europa kazi bado mnayo.
Hio sio kuuza bali mtachapwa tu maana hakuna jinsisasa cha msingi mechi na Tottenham tuiuze ' ili Tuwavurugie Chelsea kuchukua ubingwa.




Timu mbovu imeifunga timu boraUEFA ipi iyoo labda ya Africa. .underletch anakuja kuwazaba hapo hapo na hamta amini ..kuifunga Chelsea basi mmejiona wazurii ..timu mbovu tuu
Watakuambia kapiga pasi nyingi kuliko mchezaji wowote yule, ukirudi kuangalia pasi zenyewe ni back to back tena zero distance, au pasi za nyuma, kama mpira ni pasi nyingi hata zisizokua na mipango leo arsenal angekua mbali kweli, kwa miaka mingi ndo bingwa wa kupiga pasianacheza kama pirlo ila ndio full kukosea