Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watakuambia kapiga pasi nyingi kuliko mchezaji wowote yule, ukirudi kuangalia pasi zenyewe ni back to back tena zero distance, au pasi za nyuma, kama mpira ni pasi nyingi hata zisizokua na mipango leo arsenal angekua mbali kweli, kwa miaka mingi ndo bingwa wa kupiga pasi
simkubali kabisa fala yule
 
Good boy...

669127042.jpg
 
Tatizo la Man U ni kukamia timu kubwa na kushindwa kuchukua pointi nyepesi kwenye vitimu vidogo.Timu ngumu ngumu zipo kama 5 au sita hivi.Timu za kawaida zipo kama 15 hivi.
 
Nimebakiza match mbili kubwaa Man city n Spurs.....
Nampasua man city Nauza game ya Spurs
Nakuja zinunua kwa Asenyo

Sitaki chelsea awe bingwa.......

Nimesema match mbili kubwaa sio tatu we unayefikiriaa Arsenal utakuwa umevurugwaa....Nakuja kumuakikishia kuwa ametokaa top 4 manaake ajaamini bado....
 
Back
Top Bottom