permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,430
- 15,218
Mkuu hii kauli yako inajichanganya, kama unakiri wachezaji wamecheza vizuri hakika unakiri ni wazuri.Tumeshinda kwa sababu tumefuata tactics za Mou siyo kwa uwezo wa wachezaji.Ila leo Man U wamepiga mpira hatarii
Wavulana umewaonaaa? Wamepiga mzigo hatarioMorinho kabet, yaani shughuli ya wanaume unapeleka wavulana, sasa ndio kikosi gani.
Sure, ila wengi wetu hatukutegemea haya. Yan mi nilijua leo tumekufa...Jifunze kuwa na imani na kocha aliyepanga kikosi cha kazi
Huyu Conte leo analialia, Haazard leo kafanyiwa fouls ngapi?
kwa totti tunauza mechi ili mkose ubingwaLeo mnatusumbua mjini ..kushinda leo basi imekuwa ni kelele ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] shindeni na kwa toti sasa ...acheni kelelee
Wa kwanza herera...huyu niliona alivyotambaa na hazard... Akina rojo na baily costa leo atasimulia yaliyomkuta! Fellain leo kapafom sana...kifupi timu yote leo imefanya maajabu!!Mhhh!! Sijakuelewa!! .....tactics za Mou...siyo uwezo wa wachezaji ....then Man U wamepiga mpira hatari???...mhhhh!! wapigaji wa hatari walikuwa kina nani?....waliozifuata tactics kina nani?......
😀😀😀😀 [HASHTAG]#FreeHazard[/HASHTAG]Kwa kweli tuliwaelemea kila idara yaani wacha tu!
Nan kasema tunaukosa ubingwa. Umeambiwa na nani? Unadhani mou ana akili kama zako? Wee shabiki maandazi.kwa totti tunauza mechi ili mkose ubingwa
shots on target zeroNan kasema tunaukosa ubingwa. Umeambiwa na nani? Unadhani mou ana akili kama zako? Wee shabiki maandazi.
Kwenye hilo tuko wote wamlipe kama Pogbaaaaàaaa😀😀😀😀 [HASHTAG]#FreeHazard[/HASHTAG]
Nasema tena huyu mtoto Herrera anastahili mshahara mzito pale OT.
Hahaa acha2 mkuu naona mambo moto ukuUkitaka kucheka zaid angalia reply za comments baada ya game. [emoji23][emoji23]
Mwqmbie bashite aweke vyeti mezani
Duh...
And for his next trick...Ander Herrera will make Eden Hazard magically disappear