Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Tatizo la Manutd siyo Luke Shaw bali timu nzima haijiamini
Ni kujipanga na kuwa na mikakati endelevu inayotelezeka hakuna jinsiUtawala wa Manchester united,umeshapita,sasa ni zamu ya wengine
Huyu kasha fail, Manchester United imekua kubwa kuliko uwezo wakeMourhnio aonyesha msongo wa mawazo akiwa London ni vipi madoroooo badala ya ushindi
View attachment 491496
AC Milan wanapitia magumu ambayo man utd wanapitia now!Griezman alishakataa ofa
Neymar ni aghali mno
ligi ya italy ilishajifia nduguAC Milan wanapitia magumu ambayo man utd wanapitia now!
Hata wamsajili Messi, cr7, griezman, hazard N.k bado hawatafanya kitu,
Timu imefikia kikomo!
HehehehPamoja nakuondoka nafasi ya sita, sioni kama tuna timu ya kupigana kuingia top four, badala yake naona tumeondoka kwa muda tu hiyo nafasi ya sita, wiki 3 zijazo uhakika tutakua nafasi ile ile ya 6 kama sio ya saba, hasa ukiangalia ratiba tulionayo, timu nyingi tulizobaki nazo ni ngumu na tunacheza nazo bila kupumzika
Hamia kwa hao wanaojua kupigania top four hujalazimishwa kushabikia UNITED unazidi kujiongezea stress
Duh mkuu hayo ni maoni yangu si lazima ukubaliane nayo, kama hupendi kusikia tofauti na unavoona wewe, hama wewe, mimi sio mshabiki maandazi kama wengi wenu humu walivo
Hawapendi kuambiwa ukweli, kama mechi za kawaida kina bounimouth, banley, stock city westham tumeshindwa kuondoka na point, utarajie chelsea, man city, spurs, everton, arsenal utachukua point? Shida ya mashabiki wengi humu wa man utd ni watoto, wameanza kuishabikia united kuanzia mwaka 2011
Shukran, washabik maandazi humu hawana wanachojua kuhusu soka, wanaongelea ushabiki, anaejua mpira anajua manchester anawezo mdogo mno wa kuingia top 4, ukweli ile nafasi ya sita tumeondoka kwa muda tu, wiki 3 zijazo nazani tutarudi pale pale, haya ni maneno nayarudia
kwani tuko mbali kiasi gani kuingia top 4??kuna tofauti ya point ngapi??hata kama timu ni dhaifu yaani mnaona ni dhaifu kuliko arsenal na liverpool ambao kimsingi ndio maadui wakuu wa kuingia top 4??ubora wa kikosi.....hivi Fergie mwenyewe amechukua ubingwa mara ngapi akiwa na vikosi vya kawaida tu??kama alichukua ubingwa kabisa na vikosi vya kawaida kabisa kwanini sisi na kikosi hiki iwe ngumu kuingia top 4??
namalizia kwa kusema,Fergie anachotaka ni makombe,amewatisha tu wachezaji wakazane kubeba hilo kombe la Europa,btw ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja
Ukiacha kuwa na mechi nyingi I believe United inaweza kumaliza top 4,so far only Chelsea na Spurs ndio timu zenye uhakika kumaliza top 4 kwa kuwa form yao ni consistency kulinganisha na Liverpool,Arsenal,Man City ambao wako kwenye form mbovu hasa defence.Tuombe tusipata majeruhi kwenye hichi kipindi kilichobaki
SAF wakati anapewa timu aliwaambia ataondoa utawala wa Liverpool wapo waliombeza lakini aliamini ataweza hiyo kazi na hatimaye aliweza
Wakati Mourinho amepewa timu alisema atapigania kila kikombe atakavyoweza na tumeona alichofanya so far,Siku zote mashabiki wa Manchester United sio wa kukata tamaa
Kama ni suala la imani, endelea kuamini, ila uhalisia hakuna timu ya ushindanipale, kwani hao liva na arsenal ubovu wao wameanza jana? Zaidi ya miezi 4 wanasuasua, siku wakiharibu gemu zao ukitegemea untd itatake advantage nao pia wanaharibu, na hiyo imetokea kwa zaidi ya mechi tano, so ukiongolea ubovu wa vikosi vya liva, arsenal na man city bila shaka utd itakua imeoza, maana kama ingekua na afadhali wangetake advange
Kuhusu suala la majeruhi mi naona wachezaji wote wana viwango sawa tu, kukosekana kwa mchezaji wowote pale hakuathiri timu chochote, mliona kuna watu walidhani kukosekana kwa pogba zlatan na herera kungeathiri mchezo uliopita, matokeo yake yalikua ni yale yale tu timu kucheza kwa presha kubwa kama ambavo wao wangekuepo
Kwani hiyo tofauti imeanza leo?
Naona una mentality ya mashabiki wa Arsenal ndio maana nilikwambia unapata tabu kushabikia United , football inachezwa uwanjani sio mdomoni na sio rahisi kama unavyodhani,kama United ilishindwa kumpita Arsenal mechi 4 zilizopita ndio kamwe haitaweza kumpita ?
So umuhimu wa Baily ni sawa na Smalling? Fellaini ni sawa na Herrera ? Mkhitaryan ni sawa na Lingard ?
Wako wenzio hapa msimu ulivyoanza walikuwa wanasema Moyes,LVG walifanya kazi nzuri kuliko Mourinho now wamekaa kimya itafika wakati nawe utakaa kimya
Mshabiki aliyejikatia tamaa.. Nina uhakika kabisa mwanzo pia ulisema hatutafika hatua hii Europa.
Mimi sio mshabiki maandazi kama wewe usietaka kuambiwa ukweli, nimeanza kuishabikia utd kitambo, naujua mpira vuzuri, wewe na wenzako mnaongelea ushabiki tu,
Yes hakuna tofauti yoyote kati ya hao uliowalinganisha na jibu wamekupa gemu iliopita, hatuna hata mchezaji mmoja wa kuamua gemu, wote viwango vyao viko sawa tu
Stop calling Man USiku J. Carragher Aliyostaafu Kuichezea Liverpool na Nikamkuta Kavaa Jezi Ya Everton Huku Akihudhuria Mazoezi Ya Everton! Nilijua Tu Ninasmell Something fishy......
Everton Ndiye Aliyeizaa Liverpool, Sasa Mtoto Kadraw ndani Ya OT, kweli Baba Na yeye Akubali Kufungwa ndani Ya OT?.... Si itakuwa aibu Baba kuipata kwa Mtoto...
My Take: "Merseysiders will remain to be Merseysiders"..... All Merseysiders (Everton & Liverpool) Have the Same Enemies... No one else but Man U, Man City and Leeds U....
Bado nafasi ipo ya kurudi pale ilipokuwa japo ni suala la muda maana hata Fergie alisubiri misimu mitano ndio akawa na ufahari alionao leoAC Milan wanapitia magumu ambayo man utd wanapitia now!
Hata wamsajili Messi, cr7, griezman, hazard N.k bado hawatafanya kitu,
Timu imefikia kikomo!
Ndicho nilichokuwa nasema, mtasubiri sana kurudi kwenye enzi za Ferguson!Bado nafasi ipo ya kurudi pale ilipokuwa japo ni suala la muda maana hata Fergie alisubiri misimu mitano ndio akawa na ufahari alionao leo
Jiulize kwanini Atletico wako vile unavyowaona leo ni mipango from the scratch
MANCHESTER UNITED inapaswa kuwekeza kwa vijana watakaokuwa na spirit ya United kuliko ilivyo hivi sasa ambapo wachezaji wastani wa umri ni 28
We will be backNdicho nilichokuwa nasema, mtasubiri sana kurudi kwenye enzi za Ferguson!
Huu ni mwaka WA 4 unaenda mnastruggle!
Basi km Mou timu imemzidi hakuna kocha mwingine Duniani mwenye uwezo wa kuifundisha Man U mi nadhani tufanye km Real kwa kumchukua kijana wao ZIZZU na kumuamini na sisi tunatakiwa tumuamini GIGGS tumpe timu tukubali kuanzia chini tukubali kushindwaHuyu kasha fail, Manchester United imekua kubwa kuliko uwezo wake
Kwanza tujiulize, kibarua chake kipo jiji la Manchester ila yeye analala London na ikitokea kalala jiji la Manchester analala Lowry hotel, msimu unaisha huu hana makazi rasmi
Muda utaeleza
Ni kweli kabisaa maana anaijua united in and out....Basi km Mou timu imemzidi hakuna kocha mwingine Duniani mwenye uwezo wa kuifundisha Man U mi nadhani tufanye km Real kwa kumchukua kijana wao ZIZZU na kumuamini na sisi tunatakiwa tumuamini GIGGS tumpe timu tukubali kuanzia chini tukubali kushindwa
Mtashuka daraja mkifanya michezo, mpira ni uwekezaji na sio bla blaa za kununua gunia linaloitwa Pogba kwa matrilion!Basi km Mou timu imemzidi hakuna kocha mwingine Duniani mwenye uwezo wa kuifundisha Man U mi nadhani tufanye km Real kwa kumchukua kijana wao ZIZZU na kumuamini na sisi tunatakiwa tumuamini GIGGS tumpe timu tukubali kuanzia chini tukubali kushindwa