The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Timu now ni mbovu sana
Usiache tumpe mudaNimeacha kushabikia man u kwa muda mpaka mourinho aondoke game ya leo unawaachaje martial mikhy nje unamuweka lingard rashford
Ni kweli lakini usivunjike moyo kamanda mkuu wale ni waajiriwa tu sisi ndio familia hebu rudisha moyo nyuma tumpe muda JMnimeumia sana kwanini fela aanze na mikhi kuwa sub mou unatatzo gan? napumzika kufuatilia mechi zetu.....De gea anateseka sana bora asepe tu tujue timu imekufa
Nimeacha kushabikia man u kwa muda mpaka mourinho aondoke game ya leo unawaachaje martial mikhy nje unamuweka lingard rashford
nimeumia sana kwanini fela aanze na mikhi kuwa sub mou unatatzo gan? napumzika kufuatilia mechi zetu.....De gea anateseka sana bora asepe tu tujue timu imekufa
Timu now ni mbovu sana
Mou na Fella ni km Bashite na Sizonjenimeumia sana kwanini fela aanze na mikhi kuwa sub mou unatatzo gan? napumzika kufuatilia mechi zetu.....De gea anateseka sana bora asepe tu tujue timu imekufa
Griezman alishakataa ofaNimesikia MOURINHO ANAJIANDAA KUMSAJILI NEYMAR PAMOJA NA GRIEZMAN.