Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jose: "The performance was not very good.
Some players are suffering from their
confidence levels." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]

ff7640908eba8ebd64f63a45def67788.jpg

Jose Mourinho : ' With the VAR we win this game 2-1 because it is not an offside.' [HASHTAG]#MUNEVE[/HASHTAG] Duncan Castles on Twitter

Mourinho on if he will prioritize the EL: "If I keep losing players, I have to. If we feel we have to force that door, we will go for it."

Mourinho: "Shaw has talent and I want to help him. I think he has a future here but [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG] cannot wait.

Mourinho: "We are 20 matches unbeaten in the Premier League but it is not good enough as we are not winning enough matches."

Mourinho: "We need the kids to grow up."

Mourinho: "Shaw was doing things because he was reacting to my voice"

Mourinho: "If he (Shaw) was playing on the other side, for sure he wouldn't be able to do it." [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG].

Mourinho: "Shaw has a lot of potential but there has to be the football and professional brain with the talent."

Mourinho: "I was telling him to do things in the second half and he was reacting to my voice."

Mourinho: "So he needs maturity and that comes with responsibility."

5c239c7a6c03d08a182193144a8d33eb.jpg
 
tumepoteza muelekeo, nahisi wachezaji hawajui nini cha kufanya na hakuna anayefikiria vizuri, hata kama itatokezea umekosa kuangalia mpira wa manchester takribani mechi 5 zilizopita basi hutaona tofauti yoyote ile ya aina yetu ya soka tunalocheza, cross after cross,useless run,kurudisha mpira nyuma.
nahisi ferguson aliondoka na timu yake aliyoitengeneza kwa miaka 24 kilichobaki sasa hivi ni kiwiliwili tu chenye jina la manchester ila roho haipo tena,
siwezi kumtetea tena mourinho kwa matendo anayoyafanya kwa sababu amenifanya niwe miongoni mwa wapumbavu haliyakuwa si mpumbavu kwa sababu.
  • amenilazimisha niamini ya kwamba fellaini ni perfect midfielder kuliko bastian
  • amenilazimisha niamini ya kwamba damian na blind wanastahili kucheza zaidi kuliko luke shaw kwa kisingizio cha makosa aliyofanya mechi ya watford
  • lingard na rashford wanastahili dakika nyingi kuliko rooney
Lindegaard, Rafael, Evans, Rio, Buttner, Nani, Anderson, Cleverley, Welbeck, Kagawa, Chicharito.
nahisi kikosi hiki kilikuwa ni kikosi bora kuliko kikosi cha sasa hivi.

inaumiza kuona tottenham wana timu bora kuliko sisi.
 
Mkuu tuwe wavumilivu tu, lakini ukiangalia waliouzwa na walioachwa unaweza kusema wameamua timu kuihujumu, dah sina hamu hata ya kuangalia mechi zetu
 
Kumbe tumerudi kwenye Ile nafasi yetu tuliyopenda kwa miezi kadhaa iliyopita. NO 6 tunailipia kodi
 
tumepoteza muelekeo, nahisi wachezaji hawajui nini cha kufanya na hakuna anayefikiria vizuri, hata kama itatokezea umekosa kuangalia mpira wa manchester takribani mechi 5 zilizopita basi hutaona tofauti yoyote ile ya aina yetu ya soka tunalocheza, cross after cross,useless run,kurudisha mpira nyuma.
nahisi ferguson aliondoka na timu yake aliyoitengeneza kwa miaka 24 kilichobaki sasa hivi ni kiwiliwili tu chenye jina la manchester ila roho haipo tena,
siwezi kumtetea tena mourinho kwa matendo anayoyafanya kwa sababu amenifanya niwe miongoni mwa wapumbavu haliyakuwa si mpumbavu kwa sababu.
  • amenilazimisha niamini ya kwamba fellaini ni perfect midfielder kuliko bastian
  • amenilazimisha niamini ya kwamba damian na blind wanastahili kucheza zaidi kuliko luke shaw kwa kisingizio cha makosa aliyofanya mechi ya watford
  • lingard na rashford wanastahili dakika nyingi kuliko rooney
Lindegaard, Rafael, Evans, Rio, Buttner, Nani, Anderson, Cleverley, Welbeck, Kagawa, Chicharito.
nahisi kikosi hiki kilikuwa ni kikosi bora kuliko kikosi cha sasa hivi.

inaumiza kuona tottenham wana timu bora kuliko sisi.
Mtoe Evans hapo
 
Hawa Everton huwa wagumu lakini kutokana na hizi droo ninatabiri mvua ya magoli leo.

Manutd 3-1 Everton

View attachment 491099

wanakaa 2 bila hawa

Manutd v. Everton inaanza saa nne usiku. Tusikose kujionea tunavyopanda chati

Siku J. Carragher Aliyostaafu Kuichezea Liverpool na Nikamkuta Kavaa Jezi Ya Everton Huku Akihudhuria Mazoezi Ya Everton! Nilijua Tu Ninasmell Something fishy......

Everton Ndiye Aliyeizaa Liverpool, Sasa Mtoto Kadraw ndani Ya OT, kweli Baba Na yeye Akubali Kufungwa ndani Ya OT?.... Si itakuwa aibu Baba kuipata kwa Mtoto...

My Take: "Merseysiders will remain to be Merseysiders"..... All Merseysiders (Everton & Liverpool) Have the Same Enemies... No one else but Man U, Man City and Leeds U....
 
Timu now ni mbovu sana
Timu ni nzuri ila umaliziaji na linesman alituuma bao la IBRA. Pia kipindi cha kwanza tumekuwa na tabia ya kuanza polepole mno na hii huwapa upinzani kujiamini kuwa tunafungika. Mechi ile ya Chelsea hakuna tulichojifunza kujituma kipindi cha kwanza
 
Kama linesman angelitenda leo lugha ingelikuwa ni tofauti kabisa
 
Several [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG] players are thought to be confused by Jose Mourinho's handling of Luke Shaw. [telegraph]
 
Tatizo letu ile timu attacking tunatumia long balls tu ndio maana tunapoteza sana nafasi, hatuna uwezo wa kupasi haraka.
Umeona eeh timu haina mipango kabisa back pass zimekuwa nyingi kuliko pas za kwenye lango la wapinzani huwez shinda mechi au ubingwa kwa plan ya pass ndefu tu
 
Record za [HASHTAG]#Mourinho[/HASHTAG] Old Trafold mpaka sasa, kapitwa hadi na "the chosen one"

Bahati aliyonayo [HASHTAG]#mou[/HASHTAG] ni washabiki wanampenda na wana kaimani fulani juu yake, ndio maana bado hatujaanza kuona Ban za [HASHTAG]#Mou[/HASHTAG] out pale OT mpaka sasa,

bee904fdb2c918fc550773bdd614cba1.jpg

Binafsi
[HASHTAG]#Mou[/HASHTAG] out, is not the right person for the job
 
Timu ni nzuri ila umaliziaji na linesman alituuma bao la IBRA. Pia kipindi cha kwanza tumekuwa na tabia ya kuanza polepole mno na hii huwapa upinzani kujiamini kuwa tunafungika. Mechi ile ya Chelsea hakuna tulichojifunza kujituma kipindi cha kwanza
Sio mbaya, mlishafunga magoli mengi tu ya offside msimu huu. Hili la kunyimwa wala msihuzunike.
 
IBRA atoa vitisho Manutd hakuja kupoteza muda ili aendelee musimu ujao ni makombe tu hataki kusikia ubabaishaji

Screenshot_2017-04-05-19-17-02.png
 
Mourhnio aonyesha msongo wa mawazo akiwa London ni vipi madoroooo badala ya ushindi

Screenshot_2017-04-05-19-23-58.png
 
Back
Top Bottom