Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni heri tutoe 20 - 25 pounds milion kwa Sanchez kuliko kutoa more than 80milion pounds kwa Griezman, mchezaji ambaye hatuna uhakika kama ataweza shine EPL
Arsene Wenger jana katamba Sanchez atamwaga wino yaelekea kwenye hili ni kuvuta subira
 
Tofauti yetu ya points na ManCity na Liverpool izingatie bado tuna mechi mbili dhidi ya Liverpool na moja dhidi ya ManCity.

Ukijumlisha yote haya utaona ushindani wa top four vision haitabiriki

Screenshot_2017-04-07-12-26-30.png
 
Kwa mishahara hii wachezaji wa Manutd wanastahili kuona aibu kwa kiwango cha chini
 
Wachezaji wetu hawana ile roho ya kupambana Kama zamani.. Wachezaji wa babu walikuwa sio wazuri kuvile lakini walikuwa wanapambana vilivyo ili kupata matokeo..

Leo mpira unapigwa hakuna wamaliziaji kwenye box
 
Ni heri tutoe 20 - 25 pounds milion kwa Sanchez kuliko kutoa more than 80milion pounds kwa Griezman, mchezaji ambaye hatuna uhakika kama ataweza shine EPL
hata mimi nakuunga mkono, nadhani hizo 80 ni nyingi sana kwa mtu kama Griezman bora hata Dyabala
 
Dah yani akina Rashford na Baily ambao huwa wanakaza wanalipwa vimshahara kidogo kabisa halafu huyu dogo anaongezewa mkubwa hivi, mtu mwenyewe Ha improve wala nn, hiki kichekesho
Katika maamuzi mabovu na ya kijinga manchester wamewahi kufanya, mojawapo ni hili la kumpa mkataba mpya lingard, achilia hilo la mshahara hana kiwango hata cha kukaa benzi la utd
 
bayern vs dortmond ni bonge la game, attacking football mwanzo mwisho
 
Katika maamuzi mabovu na ya kijinga manchester wamewahi kufanya, mojawapo ni hili la kumpa mkataba mpya lingard, achilia hilo la mshahara hana kiwango hata cha kukaa benzi la utd
mi kwa upande wangu,kati ya mchezaji anayejiamini akiwa na mpira na move zake zinaeleweka ni lingard,na rashford mbona hamsemi ni mbovu,anakosa magoli ya wazi kabisa..ila mnampiga tu majungu lingard,lakini jamaa anajitahidi ndo maana morinho pia anampa nafasi..
 
Back
Top Bottom