Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Babu Feg kashashituka kua EPL itakua njia ngum sana kwa timu yetu kufuzu UCL,,
Kna mdau humu kasema hilo ila kaambulia kashfa,.
Ila ukweli ubaki kua ukweli tu,, tim yetu haijakomaa kwa kiwango kikubwa kias kwamba tuwe na uhakika wa kuvuna point kwa city, chel, everton plus arsen,, japo katika mpira lolote lawezekana,,
Tuombe mafanikio Europa League,, japo hata EPL itawezekana iwapo majeruhi na adhabu ztapishika,,
GGMU
Shukran, washabik maandazi humu hawana wanachojua kuhusu soka, wanaongelea ushabiki, anaejua mpira anajua manchester anawezo mdogo mno wa kuingia top 4, ukweli ile nafasi ya sita tumeondoka kwa muda tu, wiki 3 zijazo nazani tutarudi pale pale, haya ni maneno nayarudia
 
kwani tuko mbali kiasi gani kuingia top 4??kuna tofauti ya point ngapi??hata kama timu ni dhaifu yaani mnaona ni dhaifu kuliko arsenal na liverpool ambao kimsingi ndio maadui wakuu wa kuingia top 4??ubora wa kikosi.....hivi Fergie mwenyewe amechukua ubingwa mara ngapi akiwa na vikosi vya kawaida tu??kama alichukua ubingwa kabisa na vikosi vya kawaida kabisa kwanini sisi na kikosi hiki iwe ngumu kuingia top 4??

namalizia kwa kusema,Fergie anachotaka ni makombe,amewatisha tu wachezaji wakazane kubeba hilo kombe la Europa,btw ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja
 
Nahuo ndo ukweli, nyinyi muliomutokwa povu kwa mimi kusema kama haya alosema babu njooni mumpinge na babu
Ukiacha kuwa na mechi nyingi I believe United inaweza kumaliza top 4,so far only Chelsea na Spurs ndio timu zenye uhakika kumaliza top 4 kwa kuwa form yao ni consistency kulinganisha na Liverpool,Arsenal,Man City ambao wako kwenye form mbovu hasa defence.Tuombe tusipata majeruhi kwenye hichi kipindi kilichobaki

SAF wakati anapewa timu aliwaambia ataondoa utawala wa Liverpool wapo waliombeza lakini aliamini ataweza hiyo kazi na hatimaye aliweza

Wakati Mourinho amepewa timu alisema atapigania kila kikombe atakavyoweza na tumeona alichofanya so far,Siku zote mashabiki wa Manchester United sio wa kukata tamaa
 
Kama ni suala la imani, endelea kuamini, ila uhalisia hakuna timu ya ushindanipale, kwani hao liva na arsenal ubovu wao wameanza jana? Zaidi ya miezi 4 wanasuasua, siku wakiharibu gemu zao ukitegemea untd itatake advantage nao pia wanaharibu, na hiyo imetokea kwa zaidi ya mechi tano, so ukiongolea ubovu wa vikosi vya liva, arsenal na man city bila shaka utd itakua imeoza, maana kama ingekua na afadhali wangetake advange
Kuhusu suala la majeruhi mi naona wachezaji wote wana viwango sawa tu, kukosekana kwa mchezaji wowote pale hakuathiri timu chochote, mliona kuna watu walidhani kukosekana kwa pogba zlatan na herera kungeathiri mchezo uliopita, matokeo yake yalikua ni yale yale tu timu kucheza kwa presha kubwa kama ambavo wao wangekuepo
 
kwani tuko mbali kiasi gani kuingia top 4??kuna tofauti ya point ngapi??hata kama timu ni dhaifu yaani mnaona ni dhaifu kuliko arsenal na liverpool ambao kimsingi ndio maadui wakuu wa kuingia top 4??ubora wa kikosi.....hivi Fergie mwenyewe amechukua ubingwa mara ngapi akiwa na vikosi vya kawaida tu??kama alichukua ubingwa kabisa na vikosi vya kawaida kabisa kwanini sisi na kikosi hiki iwe ngumu kuingia top 4??

namalizia kwa kusema,Fergie anachotaka ni makombe,amewatisha tu wachezaji wakazane kubeba hilo kombe la Europa,btw ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja
Kwani hiyo tofauti imeanza leo?
 
Kama ni suala la imani, endelea kuamini, ila uhalisia hakuna timu ya ushindanipale, kwani hao liva na arsenal ubovu wao wameanza jana? Zaidi ya miezi 4 wanasuasua, siku wakiharibu gemu zao ukitegemea untd itatake advantage nao pia wanaharibu, na hiyo imetokea kwa zaidi ya mechi tano, so ukiongolea ubovu wa vikosi vya liva, arsenal na man city bila shaka utd itakua imeoza, maana kama ingekua na afadhali wangetake advange
Kuhusu suala la majeruhi mi naona wachezaji wote wana viwango sawa tu, kukosekana kwa mchezaji wowote pale hakuathiri timu chochote, mliona kuna watu walidhani kukosekana kwa pogba zlatan na herera kungeathiri mchezo uliopita, matokeo yake yalikua ni yale yale tu timu kucheza kwa presha kubwa kama ambavo wao wangekuepo
Naona una mentality ya mashabiki wa Arsenal ndio maana nilikwambia unapata tabu kushabikia United , football inachezwa uwanjani sio mdomoni na sio rahisi kama unavyodhani,kama United ilishindwa kumpita Arsenal mechi 4 zilizopita ndio kamwe haitaweza kumpita ?

So umuhimu wa Baily ni sawa na Smalling? Fellaini ni sawa na Herrera ? Mkhitaryan ni sawa na Lingard ?

Wako wenzio hapa msimu ulivyoanza walikuwa wanasema Moyes,LVG walifanya kazi nzuri kuliko Mourinho now wamekaa kimya itafika wakati nawe utakaa kimya
 
Mshabiki aliyejikatia tamaa.. Nina uhakika kabisa mwanzo pia ulisema hatutafika hatua hii Europa.
 
Naona una mentality ya mashabiki wa Arsenal ndio maana nilikwambia unapata tabu kushabikia United , football inachezwa uwanjani sio mdomoni na sio rahisi kama unavyodhani,kama United ilishindwa kumpita Arsenal mechi 4 zilizopita ndio kamwe haitaweza kumpita ?

So umuhimu wa Baily ni sawa na Smalling? Fellaini ni sawa na Herrera ? Mkhitaryan ni sawa na Lingard ?

Wako wenzio hapa msimu ulivyoanza walikuwa wanasema Moyes,LVG walifanya kazi nzuri kuliko Mourinho now wamekaa kimya itafika wakati nawe utakaa kimya
Mimi sio mshabiki maandazi kama wewe usietaka kuambiwa ukweli, nimeanza kuishabikia utd kitambo, naujua mpira vuzuri, wewe na wenzako mnaongelea ushabiki tu,
Yes hakuna tofauti yoyote kati ya hao uliowalinganisha na jibu wamekupa gemu iliopita, hatuna hata mchezaji mmoja wa kuamua gemu, wote viwango vyao viko sawa tu
 
Kamwambieni na babu nae anamentality ya mashabiki wa asrsenal maana kaongea kama nilichoongea wiki moja kabla
 
Mimi sio mshabiki maandazi kama wewe usietaka kuambiwa ukweli, nimeanza kuishabikia utd kitambo, naujua mpira vuzuri, wewe na wenzako mnaongelea ushabiki tu,
Yes hakuna tofauti yoyote kati ya hao uliowalinganisha na jibu wamekupa gemu iliopita, hatuna hata mchezaji mmoja wa kuamua gemu, wote viwango vyao viko sawa tu
29 years old ndio unajisifu umeanza kushabikia United kitambo ?

Kwa hizi pumba unazoongea humu ndio unajua mpira?
hata mshabiki maandazi ana afadhali
 
Usijilinganishe na SAF,unafikiri Ferguson anaweza kukubaliana nawe kuwa now Rooney ni striker bora kuliko Ibrahimovic ?
Hata hilo aliloongea kama hakuongea ungesema hawezi kukubaliana na mimi, lakini kaongea inabidi utafute kichaka chengine, na hicho kichaka unachoamini kama kimekuficha siku akikitia moto utatafuta kichaka kingine
 
Chicharito anatuotaaaa

Kweli nyumbani ni nyumbani

Screenshot_2017-03-23-20-13-09.png
 
Kuna ugali mkubwa kama Burnley wakimwuuza Michael Keane manutd kujizolea 25% ya bei atakayonunuliwaView attachment 486321
itakuwa ni deal zuri sana,huyu bwana mdogo michael keane namkumbuka miaka 7 iliyopita wakati anachezea kikosi cha under 18.
ilikuwa ni lazima niangalie man utd tv asubuhi kwa ajili ya kuangalia habari, mechi za academy na reserve team, ana pacha mwenziwe anaitwa will keane alikuwa ni mfungaji mzuri sana wa reserve team mpaka baadhi ya mechi alikuwa anakaa benchi timu kubwa.tulikuwa na vijana wengi sana wenye vipaji kwenye reserve team na under 18 mpaka leo baadhi yao nawakumbuka.
macheda, danny gibson, danny drink water, paul pogba, danny simpson, zoran tosic, cathcart, morrison,welbeck,davide petrucci, larnell cole,ritchie delaet.
BdsM0uQIUAA0ZxS.jpg
 
Back
Top Bottom