Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Darron-Gibson-Atsuto-Uchida-Manchester-United_2592879.jpg

Antonio-Valencia-Manchester-United-Schalke-04_2592882.jpg
 
Pole kwa kuacha usingizi wako na hongera kwa kuwa nasi kwa dk 45, ila naomba unikumbushe huenda nimesahau arsenal si mlishatolewa UEFA? so unasema tukutane Wembley kufanya nini?

Hahahaha! acha uchokozi kaka...atakupiga mwenye mke..(walcot)
 
Pep-Guardiola-Manchester-United-Champions-Lea_2592876.jpg

katoa macho utadhani kafumaniwa

mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley?

wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi
 
mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley?

wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi

dawa yao ni kuwawahi tu mapeeeema
 
matokeo mazuri so far
 
Attachments

  • darrongibsonteamceleb20110504_275x155.jpg
    darrongibsonteamceleb20110504_275x155.jpg
    11 KB · Views: 29
Huyu Scholes angetolewa mapema hata simuamini anaweza kupata red card
 
mkuu huyu jamaa na kikosi chake cha kujiangusha, kulia na kupanda machela kwa faulo ndogo tunawafanyaje wembley?

wanaboa sana aisee mpaka mascherano nae anadeka siku hizi
Jamaa alijua atawakuta akina Rooney wanacheza sio?
 
Rafael kwa sasa hivi amekuwa akiumia kila mechi sijui ana tatizo gani?
 
Back
Top Bottom